SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Mkuu kwa kuwa sijui KOLAZ ni nini nimepokeaumesoma uchumi wewe kolaz? hio ni jambo zuri kabisa ambalo linafanyika na nchi nyingi sana
sasa nielezee kwanini hilo ni jambo zuri kabisa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa kuwa sijui KOLAZ ni nini nimepokeaumesoma uchumi wewe kolaz? hio ni jambo zuri kabisa ambalo linafanyika na nchi nyingi sana
Andika nukuu hapa!Rejea hotuba ya mama Dakika ya 28 sekunde ya 30,
utajua nini nazumgumzia
Kwanza the way anavyoongea tu unaona kweli huyu ana diploma tena diploma yenye ya secretarial ,Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo
UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
uvivu wako wa kung'amua mambo usitupe kazi ya ziada ya kukusaidiaAndika nukuu hapa!
Au chukua hicho kipande ukiambatanishe na uzi wako.
Otherwise unaandika umbea kwasababu najua hamna kitu kama hicho
Mvivu ni mimi au wewe?uvivu wako wa kung'amua mambo usitupe kazi ya ziada ya kukusaidia
fanya kama hakuna hicho kitu then potezea tu mkuu, sababu hata ukielewa ukweli huna uelewa wa kutafsiri ukweli huo katika uchumi wa TZ zaidi ya kushabikia
Ameipata kwenye hotuba ya Rais Jana.Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?
Watu wenye taaluma hung'amua hoja kila yanapozingumzwa maneno, wewe kwakuwa unaendeshwa na ushabiki hauwezi kuliona hilo.Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?
Wewe ulilala tangu Jan.1 ndo uneamka Leo?Umeipata wapi hii? Au umetoa kichwani?
arguing with you is another loss to my time resources ,Mvivu ni mimi au wewe?
Wewe ndio umeleta mjadala wa udaku ambao hauna source, kisha unaniambia nikatafute source maana mimi ni mvivu na sina uwezo wa kuchambua mambo...mbona akili zako zinafanana na Ndugai?
Yes debt refinancing ipo dunia nzima, hta makampuni makubwa yanakopa ili ku refinance madeni ya zamani na mengine yanaenda mbali zaidi kutaduta Avilizer ambaye atanunua deni lako na ww utamlipa taratibu kwa muda mrefu.Ndio hatukatai mikopo
lakini ndo tutumie tena nusu ya mkopo kulipa deni la zamani??
tunakopa kulipa mkopo
UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Mnyumbuliko wa deni huo hapo juu!arguing with you is another loss to my time resources ,
kama unahisi taarifa hii haina source toa taarifa kwa moderators waondoe UZI..........😀😛😀😛
Be fair kwa mtoa mada. Mtoa mada anaongea na walioifatilia hotuba Jana, Kama hukuifatilia hotuba Ni tatizo jingine ila usiite alichosema mtoa mada ni udaku. Jana Rais kahutubia Taifa na hotuba yake kurushwa na vyombo vya habari vingi nchini. Na sehemu ya hotuba yake alizungumza jinsi Waziri Mwigulu Nchemba alivyompigia simu usiku kuhusu Deni la Taifa kwamba limeanza kumature linatakiwa lianze kulipwa. Akamuomba asimkate usingizi wataongea kesho yake.Mvivu ni mimi au wewe?
Wewe ndio umeleta mjadala wa udaku ambao hauna source, kisha unaniambia nikatafute source maana mimi ni mvivu na sina uwezo wa kuchambua mambo...mbona akili zako zinafanana na Ndugai?
Be fair kwa mtoa mada. Mtoa mada anaongea na walioifatilia hotuba Jana, Kama hukuifatilia hotuba Ni tatizo jingine ila usiite alichosema mtoa mada ni udaku. Jana Rais kahutubia Taifa na hotuba yake kurushwa na vyombo vya habari vingi nchini. Na sehemu ya hotuba yake alizungumza jinsi Waziri Mwigulu Nchemba alivyompigia simu usiku kuhusu Deni la Taifa kwamba limeanza kumature linatakiwa lianze kulipwa. Akamuomba asimkate usingizi wataongea kesho yake.
Kesho yake walikutana rais, waziri Mwigulu na katibu Mkuu kiongozi. Ndipo Mwigulu akatoa wazo la kwamba wachukue nusu ya mikopo nafuu na kuitumia kuilipa haya madeni yanayo mature. Wazo Hilo likapita na Rais kusifu kwamba hayo ndio matumizi ya akili, unakopa huku na unalipa Deni kule. Na Rais akasisitiza hata kwenye Maisha ya kawaida ndio tunavyofanya.
Mkuu Paul Alex uwe unafwatilia hotuba za Rais wetu. Inaonyesha wazi hujafuatilia hotuba ya Rais hivo unabishana tu humu ushinde. Ila nimeunga mkono alicho kifanya Rais. Kuna mikopo imeiva inatakiwa ilipwe so they made that apparently wise decision kuchukua sehemu ya mkopo kulipia deni lililo iva.Mnyumbuliko wa deni huo hapo juu!
Usisahau tuna mchumi namba moja wizarani. Usimchukulie poa.UCHUMI WA WAPI HUU - "debt distress"
Mkuu Paul Alex uwe unafwatilia hotuba za Rais wetu. Inaonyesha wazi hujafuatilia hotuba ya Rais hivo unabishana tu humu ushinde. Ila nimeunga mkono alicho kifanya Rais. Kuna mikopo imeiva inatakiwa ilipwe so they made that apparently wise decision kuchukua sehemu ya mkopo kulipia deni lililo iva.
Mwigulu alikuwa analeta habari ya "usalama wa nchi". Ni kweli usingizi ni muhimu.Na sehemu ya hotuba yake alizungumza jinsi Waziri Mwigulu Nchemba alivyompigia simu usiku kuhusu Deni la Taifa kwamba limeanza kumature linatakiwa lianze kulipwa. Akamuomba asimkate usingizi wataongea kesho yake.