Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama kweli yupo vizuri na hata huku kwetu bei zimeshuka sana, leo nimenunua sukari 3200 kwa kilo na mchele pia unashuka hadi 2200 kwa kilo....๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Atuongoze hadi 2035.

Mama hataki watu kuwa maskini na keshasema ataondoa double taxation kwenye bajeti ijayo,tushindwe wenyewe kufanya biashara.
 
1. Nitashirikiana na Mafisadi aliowachukia

2. Nitashirikiana na Mtu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi na Kimaadili miaka yake Kumi

3. Nitawateua tena wale Wote aliowatumbua kwa Kuiharibu Tanzania na Taasisi zao

4. Nitaanza Kuzurula nje ya Tanzania wakati Yeye alikuwa anakaa Tanzania na nchi inaenda

5. Nitapendelea zaidi kukaa Magogoni na Kisiwani ( Baharini ) lakini kamwe siyo Dodoma

6. Nitapenda Kutukuzwa, Kuimbwa na siyo Kuheshimika na Kushirikiana kwa pamoja

7. Kipaumbele changu Kikuu katika Uteuzi ni wa Dini yangu Kwanza na wa Dini zao baadae

Tafadhali naomba kukianzishwa Chuo Kikuu cha Unafiki Duniani Makao Makuu yake yawe Tanzania kwani Wanasiasa wa Tanzania wana 'PhD's' zilizotukuka za Unafiki.
 
GENTAMYCINE ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Kila kitabu na zama zake

Burundi siyo mbali,Mwigulu anatoa na nauli ya kwenda huko

 
Baada Ya Yote Hayo Una-summarize Uzi Kwa Maneno Mawili "KAZI IENDELEE"

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa Kichafu kazi iendelee ile ya miaka 10 ya uharibifu. Kuna fununu zilisikika, nilikataa kabisa nikasema Mama hawezi, nikaambiwa kakojoe ulale usubiri muda, hatimaye. Ila sijui hapo alipo Mama. Ila inawezekana pia anapitia kipindi kigumu sana hasa kubalance kati ya waliotekeleza ui Israel ili yeye awepo hapo na misingi ya anachokiamini ktk nafasi yake, Tumuombee.
 
Sikio la kufa halisikii dawa. Kuporomoka kwako JF kuko njiani kama ndo unaanza kuandika mambo kama haya.
 
Nitahakikisha Sabaya anawajibishwa kwa uhalifu wake, sintamlinda Bashite akinyang'ang'ania mali zisizio zake na sintaingilia Musiba akialipishwa fidia.
 
Mpumbavu siku zote hudhani kwamba ana akili kuliko watu wote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Udini umetawala kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ