Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

1. Nitashirikiana na Mafisadi aliowachukia

2. Nitashirikiana na Mtu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi na Kimaadili miaka yake Kumi

3. Nitawateua tena wale Wote aliowatumbua kwa Kuiharibu Tanzania na Taasisi zao

4. Nitaanza Kuzurula nje ya Tanzania wakati Yeye alikuwa anakaa Tanzania na nchi inaenda

5. Nitapendelea zaidi kukaa Magogoni na Kisiwani ( Baharini ) lakini kamwe siyo Dodoma

6. Nitapenda Kutukuzwa, Kuimbwa na siyo Kuheshimika na Kushirikiana kwa pamoja

7. Kipaumbele changu Kikuu katika Uteuzi ni wa Dini yangu Kwanza na wa Dini zao baadae

Tafadhali naomba kukianzishwa Chuo Kikuu cha Unafiki Duniani Makao Makuu yake yawe Tanzania kwani Wanasiasa wa Tanzania wana 'PhD's' zilizotukuka za Unafiki.
Rubbish
 
Kichwa Kichafu kazi iendelee ile ya miaka 10 ya uharibifu. Kuna fununu zilisikika, nilikataa kabisa nikasema Mama hawezi, nikaambiwa kakojoe ulale usubiri muda, hatimaye. Ila sijui hapo alipo Mama. Ila inawezekana pia anapitia kipindi kigumu sana hasa kubalance kati ya waliotekeleza ui Israel ili yeye awepo hapo na misingi ya anachokiamini ktk nafasi yake, Tumuombee.
Unfortunately huna hata sehemu moja ya kuonyesha huo uharibifu 😬😬
 
Mwambieni Samia.
Chapati imefika 1,000
Samia ndio kaanzisha vita na kuweka vikwazo?Kwani chakula no chapati tuu? Kula mihogo.

Mnaacha kulima ngano mnasubiria kuambiwa na Samia 😁😁

Hata hivyo sijui huwa mnapotosha kumdanganya nani,mbona bei ya chapati ni ile ile ya 250-500?

Chapati ya Serena hotel ulikltaka iwe ya sh.ngapi?
 
chapati ilikuwa 250.
Leo chapati 1,000?
mkisifu mkumbuke na madhaifu kitaa hali mbaya
Samia ndio kaanzisha vita na kuweka vikwazo?Kwani chakula no chapati tuu? Kula mihogo.

Mnaacha kulima ngano mnasubiria kuambiwa na Samia [emoji16][emoji16]

Hata hivyo sijui huwa mnapotosha kumdanganya nani,mbona bei ya chapati ni ile ile ya 250-500?

Chapati ya Serena hotel ulikltaka iwe ya sh.ngapi?
 
Back
Top Bottom