The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Rubbish1. Nitashirikiana na Mafisadi aliowachukia
2. Nitashirikiana na Mtu aliyeiharibu Tanzania Kiuchumi na Kimaadili miaka yake Kumi
3. Nitawateua tena wale Wote aliowatumbua kwa Kuiharibu Tanzania na Taasisi zao
4. Nitaanza Kuzurula nje ya Tanzania wakati Yeye alikuwa anakaa Tanzania na nchi inaenda
5. Nitapendelea zaidi kukaa Magogoni na Kisiwani ( Baharini ) lakini kamwe siyo Dodoma
6. Nitapenda Kutukuzwa, Kuimbwa na siyo Kuheshimika na Kushirikiana kwa pamoja
7. Kipaumbele changu Kikuu katika Uteuzi ni wa Dini yangu Kwanza na wa Dini zao baadae
Tafadhali naomba kukianzishwa Chuo Kikuu cha Unafiki Duniani Makao Makuu yake yawe Tanzania kwani Wanasiasa wa Tanzania wana 'PhD's' zilizotukuka za Unafiki.