Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mkuu kwenye haya maisha ili uende sawa inabidi uende na vyote.

Ukisema udeal na miundombinu tu uache hayo mengine utafeli.

Ko nchi inaweza kuwa na vipaumbele 100 kwa maana kila wizara ina vipaumbele vyake na hio itafanya tusonfe kwa pamoja

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Mimi huu uhuru tu wa kusema, kucheka, kuandika, kutoa au kuweka senti zangu benk bila bughudha unanifanya nione mama anaupiga mwingi kiasi, nikiwaza awamu iliyopita tulivyokuwa tunatekana na kutishana hata sitamani kusikia tena ujinga kuhusu huko nyuma.
 
Maneno mengi pumba tupu.
 
Sio tu yeye kutokuwa chaguo la wananchi, lakini pia sio chaguo la hiyo nafasi.
 
Naomba huu Uzi usomwe kwa makini na kutoa maoni yenye weledi. Ujue ni kwa faida ya Taifa kama ukichangia bila upendeleo. He Uzi una ukweli? Ila nimepita kariakoo nikakuta kila Kona majenereta yananguruma.
 
Mbona kila mtu anafurahia maisha.au mtoa mada unapenda watu waishi kwa kuogopana na kutushana.
Kwa taarufa yako hata makonda awe RC DAR hatotisha kama wakati ule wa kutaka kila mkazi apimwe TEZU dume.
 
Naomba huu Uzi usomwe kwa makini na kutoa maoni yenye weledi. Ujue ni kwa faida ya Taifa kama ukichangia bila upendeleo. He Uzi una ukweli? Ila nimepita kariakoo nikakuta kila Kona majenereta yananguruma.
Unachokiona wewe ni matunda ya mwendazake,Samiah analaumiwa tu na wapumbumbavu wasiojielewa,kama ni wewe kwenye bunge hili la kusujudu na kuabudu ungefanyaje kwa mfano?
 
Hao usalama wa taifa wapo sehemu zote hizo ulizosema na taarifa wanatoa vizuri sana.shida ni viongozi wetu hawana utashi wa kupiga vita rushwa.taarifa wanazikalia.
 
Hao usalama wa taifa wapo sehemu zote hizo ulizosema na taarifa wanatoa vizuri sana.shida ni viongozi wetu hawana utashi wa kupiga vita rushwa.taarifa wanazikalia.
Njaa pia inawasumbua badala ya kunusa wao wankula kabisa, tutafika tumechoka
 
Samia yawezekana akafanya makosa ya hapana pale, lakini ukilinganisha na mtawala aliyepita, Samia ni malaika ambaye huwezi kumlinganisha na yule ibilisi.
 
Umeongea kweli tupu! Hongera Sana!
 
Nchi Iko gizani,

Waziri anapita kunadi gesi ya rostiiitamuu,

Anazipita nguzo za umeme Barabarani zimelala zinaliwa mchwa.
 
Mkuu huu siyo uzi,hiki ni kitabu cha tuhuma 🤣🤣🤣🤣.
Mama Msafiri anaonewa tu,huu ugumu umeletwa na timu Msoga!
 
Mama anafanya vizuri sana, kasoro zinaweza kuwepo za hapa na pale sababu yeye sio Malaika.
 
Mweeh
Nchi ngumu
Raia wagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…