The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Noma sanaHuu uzi nao mkautizame
Naunga mkono hoja. TumepigwaPeace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.
Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais.
1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean WTF tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.
2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
View attachment 2422604
3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
View attachment 2422607
4. Udini, bibi udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na kuwapiga risasi wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.
5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"
View attachment 2422603
6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!
7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"
View attachment 2422615
Vingi sana sasa tumepata masoko ya nyama uarabuni, tumepata soko la parachichi China na South Afrika. Hayo ni machache tu ambayo hao marais 5 hawakuwahi kufanikishaUjio wake Samia umeleta kipi kipya.?
Boss wewe ulikuwa hujui Tz majority ni sycopath, Samia ni garasha, kichwani maji mtupu, wenyewe wana jitutumua kutuaminisha kuwa ni mchapakazi in reality hawana choice, lazima waende nae hivyo hivyo.Coming from an average mind, kama kweli Sa100 ni bora kuliko Magu kiutendaji hili ni taifa la wasio na akili.
Tumepigwa tena KO round ya kwanzaNaunga mkono hoja. Tumepigwa
Huo ugarasa wake ndo umefanya kwa mara ya kwanza tangu uhuru Tanzania tumeongoza kuuza bidhaa Kenya na Uganda kuliko wao walivyouza kwetu. Kweli kama hiyo ndo maana ya ugarasa basi hakuna kama SamiaBoss wewe ulikuwa hujui Tz majority ni sycopath, Samia ni garasha, kichwani maji mtupu, wenyewe wana jitutumua kutuaminisha kuwa ni mchapakazi in reality hawana choice, lazima waende nae hivyo hivyo.
huwezi kuona tatizo kwasababu umevimbiwa.Mpaka kufika hapo alipo ni bila shaka sifa anazo.
Tanzania wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwenye hao wanawake wengi mpaka alifikiriwa kuwa Makamu wa Rais bila shaka uwezo anao ka sababu asingekuwa na uwezo basi wangepewa hao wanawake wenye uwezo. Na hadi Mungu Kampa huo Urais inamasnisha kamuamini hata yeye.
Mimi binafsi sikuwai mfahamu Samia hadi alipokuwa mwenyekiti kwenye Bunge la katiba na pale nilivutiwa na uwezo wake na hata alipokuwa Makamu sijawai kuwa na shida naye.
Mimi ni Mkristo pia Mkatoliki hasa na sijaona udini wowote wa Rais Samia zaidi ninachokiona ni chuki zako tu zilizosababishwa na msongo wako wa mawazo!
Polee sana
Kwahy kumbe kabla ya Samia, Tz ilikuwa kama ipo msituni haifahamiki kimataifa, nimekuelewa Boss.Vingi sana sasa tumepata masoko ya nyama uarabuni, tumepata soko la parachichi China na South Afrika. Hayo ni machache tu ambayo hao marais 5 hawakuwahi kufanikisha
Mimi kazi yangu ni kuunga mkono hojaPeace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.
Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais.
1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean WTF tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.
2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
View attachment 2422604
3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
View attachment 2422607
4. Udini, bibi udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na kuwapiga risasi wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.
5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"
View attachment 2422603
6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!
7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"
View attachment 2422615
Ni aibu tunapoongelea nguvu au ubora wa rais tunaleta ulinganifu wa Magufuli.Magufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Akili yako imejaa maparachichi tuu, huwezi kujua kazi zilizofanywa na marais wengine.Vingi sana sasa tumepata masoko ya nyama uarabuni, tumepata soko la parachichi China na South Afrika. Hayo ni machache tu ambayo hao marais 5 hawakuwahi kufanikisha
Hili ni swali lingine. Swali lako la awali umejibiwa au wewe niambie kama kuna Rais huko nyuma amewahi fanikisha kufungua masoko ya parachichi za Tanzania kwenye nchi za China na Afrika kusini?Kwahy kumbe kabla ya Samia, Tz ilikuwa kama ipo msituni haifahamiki kimataifa, nimekuelewa Boss.
Kaka/dada unao mawakili ?!. Wale jamaa wapo japo kama hawapoPeace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.
Back to my point. rais Samia hana sifa za kua rais.
1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.
2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
View attachment 2422604
3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
View attachment 2422607
4. Udini, udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.
5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"
6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!
7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"
View attachment 2422615
Sio maparachichi tu. Data hazidanganyi. Ni kipindi cha Samia ambapo kwa data za bank kuu za nchi za jirani za Kenya na Uganda takwimu zimeonesha Tanzania imeuza zaidi kwenye hizo nchi kuliko wao walivyouza kwetu na hilo halijawahi kutokea before.Akili yako imejaa maparachichi tuu, huwezi kujua kazi zilizofanywa na marais wengine.
Ni usiku mkubwa kaka weza upumzike, naon pengine leo hukufungua saloon yk kisa hakuna umeme, najua umefik om wife hayupo kaenda kutafuta maji mpk ss ni saa 5 bado hajarudi, huerew km kutakucha salama ukihofia PANYA ROAD, pole mkuu kesho huna tumaini lolote ukiamin yote magum kaleta JPM. usijar lkn iko siku tozo zitafutwa wacha tumalize awamu kwanzaMagufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Nikiipata tiba ya msongo wa mawazo nakuletea wapi? Kumbe unasumbuliwa na stress, ngoja nikutafutie dawa chap. Ndiyo maana nikashangaa, mbona jamaa ananifosia maneno ambayo sijaandika?Tafuta tiba tu ndugu. Msongo wa mawazo au depression ni ugonjwa mbaya sana
Mpaka kufika hapo alipo ni bila shaka sifa anazo.
Tanzania wanawake ni wengi kuliko wanaume na kwenye hao wanawake wengi mpaka alifikiriwa kuwa Makamu wa Rais bila shaka uwezo anao ka sababu asingekuwa na uwezo basi wangepewa hao wanawake wenye uwezo. Na hadi Mungu Kampa huo Urais inamasnisha kamuamini hata yeye.
Mimi binafsi sikuwai mfahamu Samia hadi alipokuwa mwenyekiti kwenye Bunge la katiba na pale nilivutiwa na uwezo wake na hata alipokuwa Makamu sijawai kuwa na shida naye.
Mimi ni Mkristo pia Mkatoliki hasa na sijaona udini wowote wa Rais Samia zaidi ninachokiona ni chuki zako tu zilizosababishwa na msongo wako wa mawazo!
Polee sana
ana masters ya kitu gani? Ameisoma wapi na lini? Amewahi kufanya kazi gani ya kitaaluma ukiacha ukarani, kusambaza chai maofisini?Samia ni masters holder na ana uwezo wa akili na kupambanua mambo ikiwemo kujieleza vizuri kwa lugha ya malkia kuliko muhuni mmoja anaitwa jiwe ambaye hakuwa anajuwa hata kujieleza kiufasaha kwa lugha ya kiingereza pamoja na kuwa na phd