Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.
Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais.
1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean WTF tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.
2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
4. Udini, bibi udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na kuwapiga risasi wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.
5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"
View attachment 2422603
6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!