Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Magufuli is dead, dead for good
Like it or not, Samia ndiye rais na ni bora 100 times kuliko magufuli
Sasa Hayati Rais Magufuli ameingiaje hapa? Mbona bado unahangaika naye tu karibu miaka miwili hayupo lakini bado unaweweseka tu. Vipi alikuacha na mimba yake nini!! tupo sisi tunaweza kukusaidia kulea mimba hiyo. Pole sana.
 
Mimi ndio Rais na ninaelewa kila kila

Hii kauli tumeizoea kwa aliepita
Na huyu pia hatakuwa wa mwisho
Tutaganga njaa na kuburuzwa kwenye Dunia hii hata wewe ukiwa Rais utatupiga tu kwa tamaa
 
Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.

Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais.
1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean WTF tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.

2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi ku muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!

3. Kapatikana kwa kubwebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.

4. Udini, bibi udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na kuwapiga risasi wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.

5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"

6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msiviwbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!
Yaani akiachia ngazi 2025 atakua kalitendea taifa jambo jema sana. kiitikadi sio mjamaa wala sio mwanamapinduzi. Hastahili kuongoza chama cha mapinduzi.

Wabinafsi wanamzonga na sera ya PPP huku lengo lao kuiba uwekezaji wa umma. Yaani serikali iwekeze na wao huku wanawekeza hewa kama wale wahuni wa simon group and then wavune toka investments za umma.
 
Twende na Mh. SSH Hadi 2030. Sisi tunamkubali
 
Back
Top Bottom