Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kiufupi kashindwa kila kona na nahofia huu mchezo mchafu unafanyika kumuhujumu.

Afanye yake apite hivi kwanza hata kura hatukumpigia kapata uongozi kibahat bahati tu sio chaguo la watanzania
 
Akishindwa utampiga risasi kama Lawring alivyofanya Ghana mpaka gazeti la Times wakati ule likasema Lawring broom????. Aliua marais karibu wanne waliomtangulia ili kusafisha nchi na alifanikiwa ingawa leo baada yeye kutoka madarakani na kufariki ni yaleyale ya Afrika Huru. Uhuru uhuru bila elimu elimu elimu ni bure kabisa.

Nyerere alifanikiwa kusomesha wachache wakawa waadilifu lakini watu wa chinichini wakawachimba wakatoroka na wengine walienda kwa ihari wakawaachia walaji ambao wamewaweka watoto wao ambao wamewasomesha nje kwa pesa ya kodi yetu na wengine hawatamani kurudi na hivyo tunazidi kuangamia kwa kukosa common sense.

Unamchukia Rais ambaye naye ni tunda la Nyerere amesoma Idm Mzumbe institute for development management ambayo kila aliyetoka hapo alikuwa either DED or RDD kabla siasa hazijaja.

Unampanga aliyeenda kukopa kututoa aibu ya mamilion of Dollars tuliyokopa kununua ndege na kujenga bwawa ambalo hatukuwa tayari??

Natamani ungempinga Nyerere wakati anaunda azimio la Arusha hapo ningekuelewa ulivyo na ubavu. Muulize Tuntemeke, Kasaga Tumbo, Bibi Titi na akina Hans pope ilikuwaje? Huyu amekuwa mwanasesere wa kila anayejisikia ila take my world. She will be written in the history of iron lady who saved the country from bankrupt.
 
Very unfortunately umeshachelewa,mengi ya uliyoandika Ni uzushi wa kijinga tuu.

Amefaulu mengi Kama sio yote na mojawapo Ni sekta ya Afya..

Kajenga wodi za wagonjwa dharura 187 Nchi nzima..

Kanunua CT scan hospital zote za Mikoa Tanzania bara,

Kanunua MRI Machines hospital zote za Kitaifa na Rufaa za Kanda..

Nakupa mfano mmja tuu hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221124-154342.png
    385.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20221124-153430.png
    145.7 KB · Views: 1
Lazima utakuwa mwana wa shetani alielaaniwa.

Basi subiri kuona I'll utamanilo siku yako ya kufa.

Mama yupo saana. Na atashinda yote yaliyo mbele yake. Allah Al Mutakbar, na amjaalie kujuwa mazuri ya kutufanyia.
 
Chuki sio hisia nzuri ya kuendekeza, Mama ana mema yake pia.. mchunguze utayaona, hii chuki inaonyesha ni namna gani huna usawaziko wa akili, saa zingine hata kama we unapata hasara kama wenzio wanafaidika mshukuru Mungu kwa hilo, hata akifanya vyote unavyovitaka una uhakika utaridhika??
Learn to see a positivity in any situation Mkuu, its for your own good
 
Kusoma na kuelewa ni tatizo kubwa sana miongoni mwetu,!

Poa mkuu
 
Lazima utakuwa mwana wa shetani alielaaniwa.

Basi subiri kuona I'll utamanilo siku yako ya kufa.

Mama yupo saana. Na atashinda yote yaliyo mbele yake. Allah Al Mutakbar, na amjaalie kujuwa mazuri ya kutufanyia.
Umewahi kumuona mtoto wa shetani,?

Hivi, hili suala la kusoma na kuelewa ni tatizo sugu hapa bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…