Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Sikiliza ushauri wa madaktari si unaamini kwenye sayansi? Tulikwambia sisi ukatuona mazuzu wapenda vyeo.

Nakupenda nakushauri usiuchoshe huo uti wa mgongo, mwanaume ni mwanaume tu.

Tunataka umeme na maji, hatutaki hadithi.

Pole.
 
Sawa,nakubali
 
Chuki, udini, ukabila, ukanda na chochote kingine ukijuacho ndio vinakusumbua,
Tumekomaaaaa hamrudi tena ng'o
 
Mungu ni wa wote
 
Kura yako si haki yako, mpe usimpe yeye tayari kaisha ipata.
 
Kwanza kabisa huyu mama hana uchungu hata na madaraka aliyonayo coz ameyapata kwa bahati mbaya tu hajui hata uchungu wa kura za wananchi so hana haya na anayoyafanya wananchi huko wanalia ni mwanamke mzima lakini hata kutubembeleza hawezi hajui kuwa watu wanasubiri utatuzi wake.

Tukija kwenye uchaguzi unaofata Mama samia kura hana za wananchi ila atapata kura za wana ccm tunaoogopa kuwapa Chadema madaraka because they the worst maybe be ikitokea option nyingne lakini kwa mwana ccm damu hawezi kuwa Chadema madaraka kisa viongozi wake wameenda ndivyo sivyo.
 
Upo sahihi hakuna aliyempigia kura ya kuwa rais Hivyo ni RAIS wa KATIBA
 
Nahisi analijua ndio maana ajishughulishi na shida za wananchi zaidi ya kutetea walamba asali na chawa.
 
hao wananchi ulikutana nao wapi wakakwambia?
 
Wasiompenda wote hawaendi kupiga kura atakosaje kuwa raisi? Tujifunze kuridhika.
 
Watakuambia wao ndiyo wengi
 
Huko CCM kwenyewe kuna mapande kama 6 hivi
 
Unalalamikia nini,mbona hueleweki,kakufanyaje!?..unajua maana ya mgombea mwenza!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…