Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anao ccm wachache. Na upinzani wachache kama kina zitto.
 
Hata yanguu hanaaa huyuu Mama tozo
 
Ungejikita kumchambua,kumsimanga,kumnanga na kumzodoa uliyemlenga.Usichanganye mambo.Sasa hapo CDM inahusianaje na SSH?Au bila kuitaja CDM uzi wako hautasomwa?
 

Huna lolote hana kura yako wewe: Samia atashinda kwa kishindo:
 
Hakuna raisi ambae ana uchungu wa kupigiwa kura wote huwa wanateleza tu
 
Naunga mkono hoja ingawa sio yeye peke yake ambaye hakushinda ni karibia viongozi wote tuoliowahi kupata Chama cha Mambuzi kina utamaduni wakutumia rafu kuhakikisha kinatangazwa mshindi kauli kama "goli la mkono" "tutatumia polisi" au ile anaambiwa aikaeli na yule askari "hamchukui nchi" na kwa katiba ilivyo wananchi pona yenu muombe Mungu muokote dodo kwenye mnazi kama mlivyopata Jiwe. Tofauti na hapo ni kupigwa. Katiba ya 1977 ndio tatizo.
 
Are you serious huoni kitu? Au wewe Kipofu?
mimi sioni mzee , kwangu sifa ya uchumi ni watu kuwa na pesa na mazingira mazuri ya kufanyia kazi , hasa sioni chochote kinachobadilika ,zaidi naona mfumuko tu wa bei, kila aliye kwenye nafasi kuniomba rushwa ninapofanya biashara zangu na wateja kulalamika hali ngumu walizinazo
 
Mnaojua lengo hasa la samia kwenye uchumi wa Tanzania, njooni mtuambie hapa, mimi sielwei elewi kabisa naona hakuna kinachoendelea.
Samia anaendesha nchi Kama "serikali ya mpito"

Hana vision Wala malengo yoyote. Yeye kaweka watu wake sehemu za Kula na Wanasiasa wapiga kelele kawapa ulaji, Basi.

Na too bad, Hana agenda.

Mwanzoni wakati anaingia madarakani alianzisha siasa za Jinsia ( Ikawa ni wanawake, wanawake, ) naona watu hawazielewi.

Akaja na siasa na Machief, kelele nyingi watu hawazielewi.

Sasa hivi, anazungumzia 4R hata mwenyewe sidhani Kama anajua ni Nini. Ila kwa mtazamo wa haraka haraka naona, ni siasa za kuziba nyufa. Kila anayepiga kelele, mtupie kipande Cha mkate.
 
Umenena vyema! She is Not Visionary Leader!
Mara alianza pia siasa za kufurahisha wafanyabiashara! Yaani hakika nchi iko chini ya kichwa cha mwenda wazmu!
 
Hali ngumu unayo wewe tu, wengine hela tunazo na mambo yanaenda, kwani lini uliona uchumi unaenda vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…