Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
[emoji38][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji1787]Naye akanyanyua kinywa chake akanena "amini nawambia, yeyote atakayenizingua nitamzingua" Mataga wakainamisha vichwa vyao wasielewe cha kufanya. Jamhuri 6:12
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji16][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji1787]Unaweza kunionyesha ni ukurasa wa ngapi wa ilani ya ccm umetaja kuwa chato ujengwe uwanja wa ndege?
Any way mama atatawala hadi 2035 ,atake asitake tutamlazimisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katiba sio msaafu
Think tanker wako JK.Hivi kama wewe ni Rais na Mshauri wako wa uchumi ni Mwigulu, Mshauri wa Nishati Makamba, lazima iwe hovyo,hovyo
SawaTanzania, UAE sign fertilizer MOU
The government through the ministry of Agriculture has signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the office of Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, Member of the Dubai Royal Family, United Arab...www.thecitizen.co.tz
Vipi umerudisha kadi ya CCM? Sa100 ameuza nchi kwa wajomba zake OmanWa kupanua uelewa ni Mimi au wewe...?
Hao Rwanda, USA na Uingereza waliingia makubaliano kama haya ya kwenu?
Waliwatumia wabunge na wahandisi wa Habari kupenyeza ajenda zao?
Uliona wahandisi wao wa Habari wakipewa escorts za ving'ora?!
Huoni hata dalili za rushwa na ushawishi usiona wa kawaida kwenye mchakato huu?
Haya... mbona huku tunaambiwa ni bandari zote... Huko kwingineko mbona unataja taja tu mara dry port, mara 8 mara 2...
Kuwa na aibu asee! Panua mawazo!
Mnatuuzia mbwa badala ya mbuzi!
Wacha unafiki.Vunjeni tuu kwani nani kawakataza? Ila chini ya Samia kamwe Bandari haitakuwa shamba la bibi lisilo.na Mwenyewe
Fala wewe msukuma pumbafu!Wa kupanua uelewa ni Mimi au wewe...? Hao Rwanda, USA na Uingereza waliingia makubaliano kama haya ya kwenu? Waliwatumia wabunge na wahandisi wa Habari kupenyeza ajenda zao?
Uliona wahandisi wao wa Habari wakipewa escorts za ving'ora?! Huoni hata dalili za rushwa na ushawishi usiona wa kawaida kwenye mchakato huu?
Haya... mbona huku tunaambiwa ni bandari zote... Huko kwingineko mbona unataja taja tu mara dry port, mara 8 mara 2... Kuwa na aibu asee! Panua mawazo! Mnatuuzia mbwa badala ya mbuzi!
Katiba ibadilishwe ikitokea dharula watu tuingie kwenye uchaguzi.View attachment 2662952
Hivi huyo mama anatuchukuliaje lkn?!
Kwa mjibu wa hiyo video ina maana yeye husaini bila kuisoma MIKATABA?
Inawezekanaje Rais wa nchi usiweze kung'amua vipengere vya hovyo kwenye mikataba hadi utegemee watu?!
Mbaya zaidi mwishoni anakili uovu wa dhambi!
NB: Ajaye baada ya yeye sioni ni kwa namna gani ataacha kumfungulia mashtaka!
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati
Tumeziona hatari zake tayariKatiba ibadilishwe ikitokea dharula watu tuingie kwenye uchaguzi.
Huu utaratibu wa kurithi nafasi kubwa kama hizo ni hatari sana.