The beautiful one is not yet born.KWA wale waliowahi kusafiri na midege mikubwa hasa Boing wataelewa hiki ninachosema.
Ndege ikifika masafa ya juu na safari ni masafa ya mbali mathalan kutoka JNIA kwenda China, inafika mahali rubani anaseti mitambo na kuacha ndege kujiendea tu. Rubani anaweza kuja nyuma kwa abiria kupiga nao story na hata kulewa Pombe. Ila ni hatari pale ambapo rubani atajisahau ama kulewa asijue ni muda gani anatakiwa kurudi kwenye usukani kushusha ndege chini. Ndege itajiendea tu hadi mafuta yatakapoisha na kudondoka na kuwaka moto na kuua abiria wote. Hiki ndicho kilichotokea Kwa Air Malasia iliyopotea na watu 320 hadi leo!
Tanzania kwa sasa iko kwenye aoto-pilot. Nchi inajiendea tu. Rubani ama kachoka, kachoshwa, kajichosha au makusudi. Ni kama nchi haina kiongozi tena. Hakika tutaanguka na tutakufa wote. Ni suala la muda tu.
Hawatoki hovyo maanaKwenye mfano wako wa ndege kuendeshwa autopilot kuna mahali umeongopa kidogo. Kwa mujibu wa sheria za usafiri wa anga za FAA au federation of aviation authority marubani hawatoki hovyo kwenye chumba kile hata kama ndege ipo in auto mode kwa ajili ya usalama zaidi.
hawatoki wote! mmoja anaweza kuja kwa abiria akasalimia. Nilisafiri na ethopian Airline DSM to Bangkok, niliona kitu hicho na nilimuuliza akanieleweha hivyo.Kwenye mfano wako wa ndege kuendeshwa autopilot kuna mahali umeongopa kidogo. Kwa mujibu wa sheria za usafiri wa anga za FAA au federation of aviation authority marubani hawatoki hovyo kwenye chumba kile hata kama ndege ipo in auto mode kwa ajili ya usalama zaidi.
Ahaa sawa japo sio kila kampuni ya ndege zote..Off topic hiyo safari ilikuwa ni direct flight au mlipitia kwanza ethiopia then bangkok kutokea darhawatoki wote! mmoja anaweza kuja kwa abiria akasalimia. Nilisafiri na ethopian Airline DSM to Bangkok, niliona kitu hicho na nilimuuliza akanieleweha hivyo.
kama ulivyosema...Ahaa sawa japo sio kila kampuni ya ndege zote..Off topic hiyo safari ilikuwa ni direct flight au mlipitia kwanza ethiopia then bangkok kutokea dar
Hama nchi.KWA wale waliowahi kusafiri na midege mikubwa hasa Boing wataelewa hiki ninachosema.
Ndege ikifika masafa ya juu na safari ni masafa ya mbali mathalan kutoka JNIA kwenda China, inafika mahali rubani anaseti mitambo na kuacha ndege kujiendea tu. Rubani anaweza kuja nyuma kwa abiria kupiga nao story na hata kulewa Pombe. Ila ni hatari pale ambapo rubani atajisahau ama kulewa asijue ni muda gani anatakiwa kurudi kwenye usukani kushusha ndege chini. Ndege itajiendea tu hadi mafuta yatakapoisha na kudondoka na kuwaka moto na kuua abiria wote. Hiki ndicho kilichotokea Kwa Air Malasia iliyopotea na watu 320 hadi leo!
Tanzania kwa sasa iko kwenye aoto-pilot. Nchi inajiendea tu. Rubani ama kachoka, kachoshwa, kajichosha au makusudi. Ni kama nchi haina kiongozi tena. Hakika tutaanguka na tutakufa wote. Ni suala la muda tu.
Kama nilivyosema ninikama ulivyosema...
Hakuna chombo au mamlaka ya serikali yenye uwezo wa kuuza au kubinafsisha bandari za Tanzania.Acheni ujinga wenu muwe wazalendo kwa kutetea nchi ; huyu mama anaiuza nchi kwa waarabu kimya kimya akishirikiana na Vasco Dagama na ndio maana mkwere hajatoa neno toka sakata la bandari lianze!!
Alijiona yeye ndo raisi kuliko wote walimdanganya anaupiga mwingi kumbe kapiga WIGI. Hovyo Kanisa.
Msiba wa Magufuli Bado uanendelea mpaka Yale aliyoyasimamia yapate Mtu wake. Naona Hata Wapinzani wameanza kumkubali sasa.
Namwona Samia katika Wakati Mgumu sana na frustrated siku za usoni.
🤣🤣Hapana mzalendo alichemka kutafuta mtu dhaifu kuwa mgombea mwenza wake,next time watajifunza kuchagua wagombe wenza bora.Kifo cha mzalendo kimesababisha kupata li mtu la hovyo kabisa
Hivi huu ujasiri wa kuwaambia watanzania wamuombee sa100 mnautoa wapi?Kitendo cha Rais Samia kuanza uongozi kama kumkomoa marehemu ilikuwa ni inshara mbaya sana
Taifa likiwa kwenye maombolezo yeye alizidisha kidonda kwenye maumivu
Kwa kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wasaidizi wa marehemu haikuwa ishara nzuri
Alifanya mambo mengi kama vile anagombana na marehemu
Alifanya safari nyingi zisizo na mpangilio nafikiri alienda mara nyingi zaidi uarabuni
Ni jukumu letu watanganyika kumuombea asimalize vibaya kwasababu kuna ishara mbaya sana zinatembea juu ya nchi ya TANGANYIKA
Tuiombee TANGANYIKA ipo kwenye mkono wa majaribio mabaya kuwahi kutokea
Nchi ya TANGANYIKA bado haijaanua matanga toka 2021
Je ni nani ataanua matanga? Wazee waliochiwa mji waludharau msiba ndio maana maombolezo hayajaisha na hayataisha mpaka apatikane atakeyeanua matanga
Hivi huu ujasiri wa kuwaambia watanzania wamuombee sa100 mnautoa wapi?