Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Pole, Baba ni msingi, ukibomoka mwanamke kushikilia Nyumba ni ngumu sana, chukua uliyojifunza kwa Baba, pambana, Mungu atawasimamisha, ni mwaminifu.
 
Endeleeni kujidanganya na kujifariji
 
Hakuna chombo au mamlaka ya serikali yenye uwezo wa kuuza au kubinafsisha bandari za Tanzania
Unapokodisha sehemu yoyote ya Bandari bila Ukomo ni sawasawa na kuiuza ; acha kupotosha watu nyie mafisadi!!! Mnapindisha pindisha maneno kuwachanganya wananchi.
 
Unapokodisha sehemu yoyote ya Bandari bila Ukomo ni sawasawa na kuiuza ; acha kupotosha watu nyie mafisadi!!! Mnapindisha pindisha maneno kuwachanganya wananchi.
Nyie ndio mnapotosha wananchi maana hakuna mahali kwenye mkataba kinasema nchi imeuzwa....na ikumbukwe kwamba mkataba huo unatoa fursa kuweza kurekebishwa muda wowote kwa manufaa ya nchi.
 
Ile ni kauli ya Picha KUONESHAA NAMNA GANI HALI YA UBINAFSISHAJI NA UKOPAJI ILIVYOKUWA MBAYAAA MNOOO...!! sasa leo sula la bandari pale ni zaidi ya Kuuza nchiii... ni jambo la ovyooo sanaaaa yani kauza na watu piaaa..
 
Heee uwekezaji makampuni kumi kwa shilingi bilioni 1.8 huu ni wendawazimu.

Hivi huyu G. Teri anafanya nini hapo TIC?
Hiyo ni Mo ambapo hizo kampuni zitapewa mikopo na credit guarantee Ili ziweze kuzalisha Baadhi ya bidhaa ndani ya Nchi.
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
 
siyo uknda wa ziwa, Tanganyika nzima
 
Uku kwetu watu wanamfagilia sana sababu
1:Kaongeza mishihara
2:Ujenzi wa vituo vya afya Kila Kona
3:Ndege ya mixigo
4:Sqr juu
5:Bwawa la mwalimu Jk
6:Kufuata Kodi ya bodi ya mikopo
7:Kupandisha madarja watumishi
8:Uhuru wa vyombo vya habari
9:Vyuo vya ufundi vinajengwa Kila wilaya
10:Na mengine mengi
 
Diiipiii imekuja na mazonge mengi na yote kasukumiwa yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…