Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Ukiwa kiongozi kuchukiwa ni kawaida sana. Alichokosea ni kumsimanga mwenzake akidhani yeye atapendwa na wote.
Mara ooh palikua na simba wa Yuda
Mara oooh watu walikua na nidhamu ya uoga
Mara oooh tunawalipa walioondolewa kwenye utumishi wa umma,mpaka leo imekua kimyaa.
Alipaswa aangalie mbele tu asingejihusisha na mapungufu ya mtangulizi wake.
 
Mwanamke na urais wwpi kwa wspi sasa hivi ndo anaonja chungu ya wapambe na msoga gani
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Sasa kwani huko umeenda kufanya research au maana hao watu unaosema umewakusanya vipi na kupata taarifa zao.
Kama ulimsikia mmoja mkiwa kaunter usi generalize maana anaweza akawa ni CAF au NCCR mageuzi
 
Sasa mtu anaambiwa rudisha moyo nyuma, tuliza akili upya ili uachane na mkataba wa kugawa rasilimali za nchi kiubwete yeye anashupaza shingo tu kwa sababu ya "ego" tu, ni nani atampenda mtu wa namna hiyo?
Kwa hiyo kanda ya ziwa pekee ndo wenye uchungu na rasilimali zetu eti ee
 
Mbona hujui kuandika!? Alafu waambie kabisa Rais wa Tanzania hawekwi madarakani na wananchi,,,hivyo waendelee na kazi zao na wewe fanya yako ujiingizie kipato utachelewa sana.
Yaani kuna watz mpk leo bado wanaamini Rais anachaguliwa na wao!
Eti anachukiwa, then what!?
 
Jiliwazeni tu, 2025 haiko mbali.
Kwa katiba hii wala haihitaji kupendwa na yeyote ili uendelee kuwepo madarakani
Hawezi kupata, unadhani manjagu na jeiwii wanakubali aiuze tanganyika, never. Ongea nao uwasikie
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Mimi binafsi, nilikuwa miongoni mwa waliokuwa wakimpongeza Rais Samia katika mambo mengi lakini kwenye hili la bandari, kwa kweli amenikwaza sana, na siyo pekee yangu. Kwa watu wale ambao nina uwezo wa kuwafikia, sijaona hata mmoja anayemwunga mkono kwenye hilo.

Ndiyo hivyo, ule msemo wa Kiswahili kuwa kamba hukatikia pembamba, swala la kuruhusu uporwaji wa bandari, ndiyo wembamba wa kamba ya Rais Samia. Kama ulikuwa ni uamuzi na mapenzi yake binafsi kuikomoa Tanganyika, hawezi kujutia, ila kama alishauriwa na watu wengine, bandari hataisahau maisha yake yote.

Sula la bandari limewafanya watu kujiuliza maswali mengi:

1) Kwenye kitu ambacho nchi haina faida nacho, anataka kifanyike kwaajili ya faida yake binafsi au faida ya watu gani?

2) Je, ina maana hata pale alipokuwa akiwaonesha watu kuwa ana upendo nao, ilikuwa ni hadaa tu, lakini hakuwa na upendo wowote kwa Tanganyika na Watanganyika?

3) Je, anaichukia sana Tanganyika, kiasi cha kuona aikomeshe kwa kuiweka chini ya Waarabu wa Dubai?

4) Je, kuna mpango wa muda mrefu ambao una lengo eneo lote la pwani lichukuliwe na Waarabu? Ikumbukwe kuna kiongozi wa SMZ alikwishawahi kutamka kuwa maeneo yote kuanzia pwani ya bahari, kuingia kilometa 20 ndani ya ardhi ni mali ya Zanzibar kwa sababu hapo zamani maeneo hayo, pamoja na kisiwa cha Kilwa, yalikuwa yanatawaliwa na sultani wa Oman ambaye makao yake makuu yalikuwa Zanzibar.

5) Je, anataka kuitumia Tanganyima kuwatajirisha Wazanzibari? Ikiwa na maana kuwa kuuzwa kwa rasilimali hizi za Tanganyika, malipo yake yanaenda kwa Wazanzibari, ndiyo maana wahusika wote wakuu kwenye syndicate hii ni watu wa Zanzibar. Yaani Wazanzibari wanaiona Tanganyika kama 'kubwa jinga', ambayo wanaiweza kuitumia kuchuma utajiri.
 
Uku kwetu watu wanamfagilia sana sababu
1:Kaongeza mishihara
2:Ujenzi wa vituo vya afya Kila Kona
3:Ndege ya mixigo
4:Sqr juu
5:Bwawa la mwalimu Jk
6:Kufuata Kodi ya bodi ya mikopo
7:Kupandisha madarja watumishi
8:Uhuru wa vyombo vya habari
9:Vyuo vya ufundi vinajengwa Kila wilaya
10:Na mengine mengi

Mixigo ni nini?
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Kanda ya Ziwa anapendwa Cheyo tu. Ndio maana aliacha kugombea Urais na kujikita katika Ubunge( yaani Rais wa kanda ya Ziwa).
 
Kusema kwamba hufahamu kwa nini amechukiwa ni kutokuwa mkweli kwa upande wako. Labda useme hupendi kuzitambulisha sababu hizo.
Ni kweli. Sababu zinaeleweka ila sijawahi kuona wananchi wengi kuwa na chuki kwa rais namna hiii, hasa wale wana CCM waliokuwa hawaambiwi kitu kuhusu ubaya wa kiongozi wao.
 
Mama hana tatizo kabisa Ila kuna watu kwenye chuki binafsi dhidi ya Mama Washindwe na walegee.

Ingawa wanaomsaidia mama na wapambe na baadhi ya watumishi wa Umma ni wahovyo hasa katika eneo la upendele na Rushwa.

Wengine ni hawa wakimbiza Mwenge kujivisha koti la Mama na kuwaletea shida watu wasio na hatia hiyo inaongeza chuki kwa Mwenge kwani umeondoka kwenye njia ya kuondoa chuki ndani ya mipaka .

Sheria zipo wazi Mwenye jukumu la kuhukumu ni mahakama baada ya kutoa fursa ya kusikilizwa. Sasa Mkimbiza mwenge anakuwa hakimu! Ananyanyasa watu kwakuwa anamwakilisha Rais! Wanafanya vitendo kinyume na Katiba ya nchi alafu tunawachekea!!
 
Ukiwa kiongozi kuchukiwa ni kawaida sana. Alichokosea ni kumsimanga mwenzake akidhani yeye atapendwa na wote.
Mara ooh palikua na simba wa Yuda
Mara oooh watu walikua na nidhamu ya uoga
Mara oooh tunawalipa walioondolewa kwenye utumishi wa umma,mpaka leo imekua kimyaa.
Alipaswa aangalie mbele tu asingejihusisha na mapungufu ya mtangulizi wake.
Shida ni pale mtu kujihesabia haki na msafi

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom