Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ni lini nyinyi watu wa kanda ya ziwa mliwahi kumpenda mama samia.....acheni unafiki, narudia tena nasema hiviii acheni unafiki....kanda ya ziwa hamjawahi kumpenda mama hata kidogo, makundi kama sukuma gang na ufara mwingine si yameanzia kanda ya ziwa??
Ngombe
 
Ukiwa kiongozi kuchukiwa ni kawaida sana. Alichokosea ni kumsimanga mwenzake akidhani yeye atapendwa na wote.
Mara ooh palikua na simba wa Yuda
Mara oooh watu walikua na nidhamu ya uoga
Mara oooh tunawalipa walioondolewa kwenye utumishi wa umma,mpaka leo imekua kimyaa.
Alipaswa aangalie mbele tu asingejihusisha na mapungufu ya mtangulizi wake.
Kumbe
 
Sasa kwani huko umeenda kufanya research au maana hao watu unaosema umewakusanya vipi na kupata taarifa zao.
Kama ulimsikia mmoja mkiwa kaunter usi generalize maana anaweza akawa ni CAF au NCCR mageuzi
Oky kitenge
 
Mimi binafsi, nilikuwa miongoni mwa waliokuwa wakimpongeza Rais Samia katika mambo mengi lakini kwenye hili la bandari, kwa kweli amenikwaza sana, na siyo pekee yangu. Kwa watu wale ambao nina uwezo wa kuwafikia, sijaona hata mmoja anayemwunga mkono kwenye hilo.

Ndiyo hivyo, ule msemo wa Kiswahili kuwa kamba hukatikia pembamba, swala la kuruhusu uporwaji wa bandari, ndiyo wembamba wa kamba ya Rais Samia. Kama ulikuwa ni uamuzi na mapenzi yake binafsi kuikomoa Tanganyika, hawezi kujutia, ila kama alishauriwa na watu wengine, bandari hataisahau maisha yake yote.

Sula la bandari limewafanya watu kujiuliza maswali mengi:

1) Kwenye kitu ambacho nchi haina faida nacho, anataka kifanyike kwaajili ya faida yake binafsi au faida ya watu gani?

2) Je, ina maana hata pale alipokuwa akiwaonesha watu kuwa ana upendo nao, ilikuwa ni hadaa tu, lakini hakuwa na upendo wowote kwa Tanganyika na Watanganyika?

3) Je, anaichukia sana Tanganyika, kiasi cha kuona aikomeshe kwa kuiweka chini ya Waarabu wa Dubai?

4) Je, kuna mpango wa muda mrefu ambao una lengo eneo lote la pwani lichukuliwe na Waarabu? Ikumbukwe kuna kiongozi wa SMZ alikwishawahi kutamka kuwa maeneo yote kuanzia pwani ya bahari, kuingia kilometa 20 ndani ya ardhi ni mali ya Zanzibar kwa sababu hapo zamani maeneo hayo, pamoja na kisiwa cha Kilwa, yalikuwa yanatawaliwa na sultani wa Oman ambaye makao yake makuu yalikuwa Zanzibar.

5) Je, anataka kuitumia Tanganyima kuwatajirisha Wazanzibari? Ikiwa na maana kuwa kuuzwa kwa rasilimali hizi za Tanganyika, malipo yake yanaenda kwa Wazanzibari, ndiyo maana wahusika wote wakuu kwenye syndicate hii ni watu wa Zanzibar. Yaani Wazanzibari wanaiona Tanganyika kama 'kubwa jinga', ambayo wanaiweza kuitumia kuchuma utajiri.
Yetu macho
 
Mama hana tatizo kabisa Ila kuna watu kwenye chuki binafsi dhidi ya Mama Washindwe na walegee.

Ingawa wanaomsaidia mama na wapambe na baadhi ya watumishi wa Umma ni wahovyo hasa katika eneo la upendele na Rushwa.

Wengine ni hawa wakimbiza Mwenge kujivisha koti la Mama na kuwaletea shida watu wasio na hatia hiyo inaongeza chuki kwa Mwenge kwani umeondoka kwenye njia ya kuondoa chuki ndani ya mipaka .

Sheria zipo wazi Mwenye jukumu la kuhukumu ni mahakama baada ya kutoa fursa ya kusikilizwa. Sasa Mkimbiza mwenge anakuwa hakimu! Ananyanyasa watu kwakuwa anamwakilisha Rais! Wanafanya vitendo kinyume na Katiba ya nchi alafu tunawachekea!!
Oky
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Tatizo la waTanganyika ni kutokuwa na action. Sijui tuwaazime waKenya watupe watu ?!.

Huu upuuzi ungesimamishwa na maandamano makubwa ya kweli. Tena yasiyo ya fujo. Dp world asingetia mguu
 
SISI WATU WA MARA HATUWEZI KUMUELEWA MWANANAMKE WALA KUPIGA KURA KWA MWANAMKE.
UKIONA MBUNGE MWANAMKE AMEPIGIWA KURA AMEPITA UJUE KUNA MAKOSA YA KIUFUNDI YAMEFANYIKA EITHER MGOMBEA MWANAUME ANAYEKUBALIKA AMEGOMBEA KUPITIA CCM KWA HIYO TUNAAMUA TUMPE WA UPINZANI HATA KAMA NI MWANAMKE.

KWA MSINGI HUO,MIMI BINAFSI SAMIA NAMKUBALI LAKINI SIWEZI KUMPA KURA AKIGOMBEA NA MWANAUME MWENZANGU.
NI MANENO YA MLEVI MMOJA WA HUKO ,TARIME-MARA
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Kufeni mumfuate jjiwe
 
Watu wa kanda hiyo sio wa kuwaamini, ndio wamekuwa wakiiweka CCM madarakani kila uchaguzi...
Wasukuma ndio sio wa kuwaamini,wana shida sana wale mara zote wanatuangusha,lakini sisi watu wa Mara hatujawahi kuyumbishwa.
 
Habari za jumapili.

Niko busy kidogo kwenye ujenzi wa taifa uku Mwanza, ila shughuri zangu zinanifanya nisafiri sana mikoa ya hapa kanda ya ziwa.

Uku kipindi cha nyuma, Samia angalau raia walikuwa wanamnena kwa mazuri.

Sasahivi hali imebadirika sana, sijui ni uku au hata uko kwenu wakuu hali ipo hivyo? Yaani kitaa watu sahivi hawamuelewi Samia, yaani hawamuelewi ata kidogo. Kisa eti anauza mali za Tanganyika kwa waarabu.

2025 Samia ana kazi kubwa sana kuvuna kura mikoa ya; Mwanza,Kagera,Mara,Geita,Shinyanga na Simiyu.
Anayechukiwa ni mamako we ngedere
 
Kuna tukio nalikumbuka,siku moja wanawake watatu walimwomba dereva wa Bajaj amshushe jamaa mmoja ambae alikuwa ni abiria kwenye ile Bajaj kiss mwamba alikuwa anamsifia Sana Rais. Wakamwambia dereva mshushe huyu tutamlipia nauli yake.

Wamama sijui kawafanyaje huyu kiongozi hadi Wana chuki nae kiasi hiki.
we zuzu kacheke mwenyewe
 
Uku kwetu watu wanamfagilia sana sababu
1:Kaongeza mishihara
2:Ujenzi wa vituo vya afya Kila Kona
3:Ndege ya mixigo
4:Sqr juu
5:Bwawa la mwalimu Jk
6:Kufuata Kodi ya bodi ya mikopo
7:Kupandisha madarja watumishi
8:Uhuru wa vyombo vya habari
9:Vyuo vya ufundi vinajengwa Kila wilaya
10:Na mengine mengi
Hiyo mishahara ameongeza kutoka kwenye hela za baba yake? Kama angekuwa na hizo hela angethubutu kuhonga Bandar za Tanganyika kwa matapeli
 
Back
Top Bottom