Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Alipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanayotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Mungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.