Alipoingia madarakani siku ya mwanzo kabisa sikuwa na imani naye sana. Baadae akafanya mambo mazuri kwa ajili ya Tanzania na kweli kazi zake zikawa zinaonekana ni halisi.
Muda ukapita wengine wakasema ngoja tumpe muda.
Tukasema sawa so far she is running good things.
Lakini kwa haya ya hivi karibuni na yanatotokea kwa sasa mimi naona kama naanza kukata tamaa.
Tumuombee sana Kungu ageuze moyo wake awe mtumishi Mwema kwa Taifa hili.
Ameen.
Watanzania tujaribu kuona kitu kizuri!
Hii Nchi itaendelea sana lakini wazawa watakuwa watizamaji tu...
Mazingira ya Biashara kuanzia Kilimo mpk Ufugaji yameandaliwa Vizuri Mno na Huyu Rais SSH na tena kwa kipindi kufupi sana!
Mwezi wa Tisa hapa yanakuja Mataifa Karibia Yote kwa ajili ya kuona Fursa za Biashara ya Kilimo na Mifugo hapa Nchini.
Yaani wanakuja Wanunuzi wa Kondoo na Mbuzi wanakwambia tunataka Kondoo na Mbuzi laki moja kwa Mwezi-Kwa Dollar halafu!!
Ng'ombe kwa Dollar!
Kazi ya Serikali ni kuhakikishs tu kwamba Vigezo vya Export vimekamilika!
Tafsiri yake ni Kwamba Pesa zinakwenda kwa Mkulima moja kwa Moja!
Serikali inachofaidi ni Dollar!
Huu Mkutano haujawahi kufikiriwa kufanyika hapa Nchini lakini Mama amewaleta Wafanyabiashara zaidi ya 5000.
Mkulima wa Soya akiwepo pale anaizwa-Unazo tani ngapi!
Haya
Kama Nchi tunaweza kulipa kodi kwa Mwaka 24T.
Ubinafsishaji unatuletea 20+T zaidi...
Halafu watu wasio na Tin Number ndo wako na simu zao wanasema Nchi Imeuzwa!
Hasha!
Tubadili Fikra
Nchi inaongozwa vizuri Mnooo!
Miradi mikubwa ikifunguliwa hamtaamini kama hii ni Tanzania!
Shida ni kwamba je- Watanzania watachukuana na Hizo Fursa???
Tuamke!!!
Pesa ziko!!!!!
Nchi inamahusiano mazuri sanaaaa!!
SSH ni wakuombea Kwa Mungu!
By the way siyo Muoga.