Dah, kweli?Bila katiba bora malalamiko dhidi ya marais hayatakaa yaishe. Hata wewe mleta mada ukipewa urais wa Tanzania kwa katiba hii utakuwa hufai tu. Maana utajikuta tu ubinadamu unakutuma ufanye maovu na katiba inakulinda kuliko maelezo
Mnakosea sana mnappsema mamaWakati Rais Samia anaingia madarakani, watu wengi walimfurahia. Kila mtu alimuona mzuri. Hata baadhi ya wapinzani wakawa wanasema anaupiga mwingi. Ni kakikundi fulani tu wenyewe wanawaita 'Sukuma Gang' ndiko kalikuwa kakionekana kutoridika na mwenendo anaokwenda nao mama, wakidai viatu alivyoachiwa na mtangulizi wake havimtoshi.
Sa sijui nini kimetokea? Nilisinzia kidogo ile kuamka, nakuta kila mtu analalamika. Viongozi serikalini wamekuwa wakali, wanasem kuna watu wanamtukana mama, wengine wanasema mara kuna watu sijui wanataka kumpindua. Nielezeni kwani mama kafanya nini tena? Mbona alianza vizuri tu?
Yeye si alikua kiranja wa Malaika au ushasahau?Mnakosea sana mnappsema mama
Yetu. Sema Raisi tuna mama zetu bwana wazalendo siyo huyo unayemwongelea.
Mbona magufuli hamkumwita baba Yenu
Shida kubwa ni kwamba aliwaamini sana washauri wake hasa kutoka Msoga.hapo shida ikaanza.Dah, kweli?
Bongo Si kuzuri, mjomba katapeliwa😃😃😃😃!!Shida kubwa ni kwamba aliwaamini sana washauri wake hasa kutoka Msoga.hapo shida ikaanza.
Ama kuhusu hili la Bandari ni tamaa yake tu kutaka 2025 agombee Urais Kwa ufahari mkubwa akaamua agawe bandari Kwa wageni ambayo wamempa rupia si haba.
Wajuzi wa mambo wanasema ni dolari 2.5 MILIONI, SAWA na shs za kitanzania trilioni 5.
Ila walio Zola ni wengi pia wakiwemo wale mataahira wa Wasafi Nini sijui.
Ni mama abdul mimi mama yangu yupoWakati Rais Samia anaingia madarakani, watu wengi walimfurahia. Kila mtu alimuona mzuri. Hata baadhi ya wapinzani wakawa wanasema anaupiga mwingi. Ni kakikundi fulani tu wenyewe wanawaita 'Sukuma Gang' ndiko kalikuwa kakionekana kutoridika na mwenendo anaokwenda nao mama, wakidai viatu alivyoachiwa na mtangulizi wake havimtoshi.
Sa sijui nini kimetokea? Nilisinzia kidogo ile kuamka, nakuta kila mtu analalamika. Viongozi serikalini wamekuwa wakali, wanasem kuna watu wanamtukana mama, wengine wanasema mara kuna watu sijui wanataka kumpindua. Nielezeni kwani mama kafanya nini tena? Mbona alianza vizuri tu?
Sijuikila siku ni shida mpya . Accusations mpya . Matatizo mapya .
Hivi amna advisors ??
Amna usalama ?
Hana marafiki ?
Kila siku ni new cases , zote makosa ni yake . Hivi ajachoka ?
Ofisini akai , kila siku yupo mtaani ? Ana fanya kazi Saa ngapi ? Yupo busy kuonekana kwenye tv ? Kwa nini asisolve matatizo ya wananchi ? ANAMATATIZO GANI ?