Hello JF,
Upandacho ndicho uvunacho, Mungu akamchukua Magufuli na kupanda mbegu ya mwanamke juu ya kilele Cha ukuu wa Taifa. Mlifikaje hapo Mimi sijui je aliondoka kwa neema za Mungu au wanadamu hilo sijui ila dalili ya mvua ni mawingu. Rasilimali ndio nguvu ya Taifa, na hii laana inamgusa alieko juu wananchi mtaumia bila kuwaonea huruma maana hio laana ni yake yeye, usaliti ni wake yeye, njaa ikizidi msimamia mirathi Mungu atashughulika nae.
Ni mkama mzaha ukirithi kwa ghiriba huishia kutapanya na kuishia shimoni. Kisicho halali ni sumu.
Shukrani 🙏
Wadiz