Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hawa siyo viongozi ni watawala
 
Tutabaki kuita kila Rais shetani au hana akili timamu wakati huo sie malaika na wenye akili timamu hatuwezi kufanya lolote kubadili hali zaidi ya kufurahia uhuru wa kukosoa humu mitandaoni.
Chief treasure ni nani?
Yawezekana hujui hata ukiandikacho
 
Hawa viongozi wetu upeo wao wa kufikiri ni miaka 5 mbele basi wakiwaza uchaguzi.
Kwa mwendo huu Watanzania tumeumia tena.
Hata sisi wananchi tunawaza hivyo hivyo kwamba hatuwezi kufanya lolote kubadili wala kuweka sawa chochote suluhisho ni hadi ccm itoke madarakani hivyo tunawaza uchaguzi na kujipa matumaini ya kuitoa ccm madarakani.
 
Hello JF,

Upandacho ndicho uvunacho, Mungu akamchukua Magufuli na kupanda mbegu ya mwanamke juu ya kilele Cha ukuu wa Taifa. Mlifikaje hapo Mimi sijui je aliondoka kwa neema za Mungu au wanadamu hilo sijui ila dalili ya mvua ni mawingu. Rasilimali ndio nguvu ya Taifa, na hii laana inamgusa alieko juu wananchi mtaumia bila kuwaonea huruma maana hio laana ni yake yeye, usaliti ni wake yeye, njaa ikizidi msimamia mirathi Mungu atashughulika nae.

Ni mkama mzaha ukirithi kwa ghiriba huishia kutapanya na kuishia shimoni. Kisicho halali ni sumu.

Shukrani 🙏

Wadiz
 
Umejiandaa kusimangwa lakini?
Tembea na vidonge vya presha maana wapo watu humu wana uzaramo wa kumsuta mtu mpaka anaundei🤣
 
Wivu tu
 
Ngoja watu wajineemeshe, hiki ndicho walitamani kufanya. RIP Yohana.
 
Atakayekuja baada ya huyu mkizimkazi atapata shida sana kuiweka nchi katika mstari mnyoofu.Maana kila kitu kimeharibiwa,watu wanajichotea mali za umm na hakun hatua inayochukuliwa.uchumi umeshuka kuliko kawaida na wanaingia mikataba mingi ya kilaghai.Hiki kipengele cha kurithi kwenye katiba yetu kimetuletea matatizo mazito kwa nchi.
 
Wanaojichotea Mali za Uma ni wakimbizi au watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…