Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ukimsikiliza Mama kwa makini ni kama hapendi hoja za wanyonge kiasi cha kuwaambia polisi wawanyamazishe kwenye mikutano yake.

Aidha kiongozi anayekubalika na Wanyonge yeye anamsukasuka na asiyependwa na wanyonge yeye ndio amamkumbatia sijui kwanini?
 
Hii serikali ya kizimkazi iko AGAINST watanganyika full stop [emoji1630]
 
Ukimsikiliza Mama kwa makini ni kama hapendi hoja za wanyonge kiasi cha kuwaambia polisi wawanyamazishe kwenye mikutano yake. Aidha kiongozi anayekubalika na Wanyonge yeye anamsukasuka na asiyependwa na wanyonge yeye ndio amamkumbatia sijui kwanini?
Ni kukosa tu Shukran angekua hawajali wanyonge kwanini Aongeze minimum wages kwa asilimia 20?
 
Ukimsikiliza Mama kwa makini ni kama hapendi hoja za wanyonge kiasi cha kuwaambia polisi wawanyamazishe kwenye mikutano yake. Aidha kiongozi anayekubalika na Wanyonge yeye anamsukasuka na asiyependwa na wanyonge yeye ndio amamkumbatia sijui kwanini?
Shida za watu anaona ni makelele. Ni Raisi wa ajabu kuwahi kutawala Tanzania
 
Tafsiri ya Rais au kiongozi wa wanyonge kwa nchi hii ni yule Mtu au kiongozi anayependa serikali imnyanyase na ikiwezekana ipore na kunyang'anya mali na haki za wafanyakazi,wafanyabiasha au matajiri.
 
Hata Mimi naona hivyo hivyo
 
Huyu mama tofauti yake na magufuli ni kwamba anatumia akili, ulaghai na Si maguvu. Marehemu JPM (DU) alitumia maguvu bila akili katika kufanya udikteta wake.

Magufuli alilinda rasilimali za nchi yetu lkn mama huyu anazitapanya kwa juhudi zote.

Huyu mama anasingizia na kubambikia watu kesi, anakamata wapinzani bila makosa kama kipindi cha jiwe.

Anavunja haki za binadamu mfano kuwafukuza wamasai kwenye maeneo yao, kuzuia huduma za kijamii kuwafikia wananchi wa loliondo na ngorongoro, watu wanatekwa mfano wakili mwambukusi na wenzake.

Analinda wezi wa rasilimali za taifa, anaupendeleo wa wazi kwa wazanzibar na wanafamilia na ndugu zake waarabu.

Ni raisi wa kwanza duniani kuupata uraisi kwa bahati mbaya kabisa hajachaguliwa na wananchi hata kwa kura Moja, amebebwa na katiba mbovu. Anawakandamiza wananchi wake kwa makodi na matozo ya hovyo bila huruma.

Anapenda mikopo kuliko hata anavyojipenda mwenyewe na popo Kila siku angani kwa safari za kula Bata au kuifungua nchi.
Ni mlevi wa Madaraka, ana kiburi na jeuri, Hana anachokisimamia kwa weledi na utulivu.

Kwa ujumla watanzania kwa huyu bibi tumelambishwa garasha.
 
sawa.
basi bana wacha tu nicklick like battan
 
Hakuna Rais hapo chenga tu.
 
Huku Dp world,huku umeme unakatika,huku bandari imeuzwa,huku ngororo wamasai huko katiba mara mafuta mara jamhuri ya twitter huko mara, tutaipindua nchi na meza yake.

Mama watoto ni hatari dawa yao mwendo kama ule wa marehemu baba walshazoea kuzungumzia vyumbani na kuchezea varandani
Hayo ni mapunda bila viboko hayaendi.

Safarini Gibraltar.
 
Hivi wewe unavyolinda kaburi huwa unapigwa viboko na uvccm wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…