themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Tunapotea mara ngapi?Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
My brother mwanacotideMabadiliko ni Razima RIP MWAMBA MWANACOTIDE
Hiyoo imeenda imeendaaaGreat thinkers
Kwa msaada wa Video hii.(Modes DON'T edit)
1. Gari ni Tanzania
2. Dereva ni samia
3. Abiria ni wapiga kura.
4. Anayechukua video ni Sukuma gang.
5. Waliopo Ng'ambo wakimwongoza Dereva ni Msoga gang(Wahuni) na Baraza la mawaziri.
6. Maji ni lundo la Matatizo Nchini..
View attachment 2910764
Kwa wanaonifuatilia hapa JF mimi nilikuwa mpiga debe ya saa100 baada ya jiwe kudondoka! Sasa nimejirudi, nimetafakari, na nimeamua kuwa huyu si rais ni bonge la mchongo wa mafisadi wa nje na ndani ya nchi tutakwisha tukimpa mitano tena.Great thinkers
Kwa msaada wa Video hii.(Modes DON'T edit)
1. Gari ni Tanzania
2. Dereva ni samia
3. Abiria ni wapiga kura.
4. Anayechukua video ni Sukuma gang.
5. Waliopo Ng'ambo wakimwongoza Dereva ni Msoga gang(Wahuni) na Baraza la mawaziri.
6. Maji ni lundo la Matatizo Nchini..
View attachment 2910764
Jibu hoja zilizowekwa acha mbwembwe za kutetea chama. Kazi hiyo muachie MakondaHuyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
Mother kazingua hatari.......…....."Mtanikumbuka"…..............