Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Ndugu yangu, Rais wa Nchi hii alifariki. Kwa sasa Nchi hii haina Rais. Kungekuwa na Rais angesikia kilio cha watanzania kuhusu uhaba wa umeme.
 
Mkuu tunamlaumu bure yule mama, hakutegemea kuvaa viatu alivyonavyosasa, urais unahitaji watu waliojipanga, wakasukwa wakaiva.

Sasa kwa mama umekuja kwa bahati, pia nchi kwasasa mahaba mengi, hana maamuzi maana hajui afanye nn
Kwa hiyo 2025 ndio atakuwa kajipanga
 
Nchi haipo mikononi mwake na sidhani kama ana uwezo wa kuiendesha.

Maana ndo maana wengi wanajiuliza endapo JK alifahamu kuwa atakuja kuwa rais ndo maana akamkataa EL?

Na sijasema kwamba ana uhusika wowote kwenye kifo cha mwendazake.

But lots of things are possible.
 
SAMIA Hamna kitu, Kigoma Umeme wa gereneta Lakini Lakini Kila Siku Umeme Hamna... SAMIA Please Acha Hayo MADARAKA
 
Mmh
 
Mkuu tunamlaumu bure yule mama, hakutegemea kuvaa viatu alivyonavyosasa, urais unahitaji watu waliojipanga, wakasukwa wakaiva.

Sasa kwa mama umekuja kwa bahati, pia nchi kwasasa mahaba mengi, hana maamuzi maana hajui afanye nn
Ni sahihi. Hana ajualo yule Ajuza wa kizanzibar zaidi ya kuturembulia macho tu.
 
Janabigiftedhands did
 
Mkuu tunamlaumu bure yule mama, hakutegemea kuvaa viatu alivyonavyosasa, urais unahitaji watu waliojipanga, wakasukwa wakaiva.

Sasa kwa mama umekuja kwa bahati, pia nchi kwasasa mahaba mengi, hana maamuzi maana hajui afanye nn
Aachiee ngazi kama viatu hamtoshi
 
Nilikua kwenye kikao flani,Jamaaa anapihechiDi Ati likasifiaa...Dah! Nikawaza ivi Dr.za Bongo ni sawa na Israel kweli....🤣
 
Yaheee....Unamjua Kahaba mkuu berizeburi weye
 
Wamewatengenezea tatzo halaf watalitatua..na nyie mtashangalia mitano tena..anaupiga mwing..si wanajua kuwapepeta watakavyo mazumbukuku.[emoji16]
 
Dr. Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…