Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Ni wachache na wajingawajinga wasioelewa umhimu wa maombi!!Hayati alisema tumuombee, mimi na wewe tunajua nini kilitokea.
Maisha yapo on autopilot maombi hayana impact yoyote.
Upewe wewe Kama unaona mama Hawezi.. Mlizoea Kufokewa badala ya kujituma na kufuata miongozo kwa kuheshimiana na kuongozana. Mama Hafoki ila ujumbe unafika na tena ukiwa na impact kubwa,..Cheo ni kikubwa kuliko uwezo wake
Wewe kweli ni jinga MATAGA wahedi.Hujui hata kwanini Lissu yupo Ubeligiji.Tundu Lissu ni Mtanzania halisi tena huenda ni Mtanzania zaidi ya Jiwe ambaye hatujui kama ni Mrundi au Mtanzania.Manake ana roho mbaya kuliko hata lucifer.Shame on you!Sasa ulitaka ashinde nani ? Mbeligiji ? Hauko serious.
Sio hayo tu, namna mama anaenda kwa sasa sioni Kama anazungukwa na watu makini. Hizi tengua teua nyingi kwa wakati mmoja na kubadili karibu kila kitu inaonyesha hakuwa anakubaliana na marehemu kwa Mambo mengi jambo ambalo sio zuri kwake kwa sasa kutokana na Imani ya watu kwa marehemu. Na mimi sitashangaa kusikia Kuwa tuna lock down.Naamini mama anawaamini sana wanaomshauri kuliko yeye mwenyewe kwa sababu simuoni mama ninayemjua, namuona mama mwingine anayejaribu kufanya vitu vipya.JMT ,............KZ Iendeleeeeee.........