Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hayo ni mambo madogo na yanarekebika.

RAIS wetu ni Mh. Samia Suluhu Hassan. Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano- Kazi Iendeleee.
Ndiyo moto yetu na tumezika Hapa Kazi Tu kumbe hapa Ufisadi tu kwa kuchomeka watu wake maeneo muhimu ili kuwa na pipe chini chini la kutuibia. Mnakuja front na kapisi ka Tanzanite kumbe makubwa yako chini ya carpet. Kazi imeisha hiyo.
 
Upewe wewe Kama unaona mama Hawezi.. Mlizoea Kufokewa badala ya kujituma na kufuata miongozo kwa kuheshimiana na kuongozana. Mama Hafoki ila ujumbe unafika na tena ukiwa na impact kubwa,..
Sawa Bashite lakini utatoa matokeo muda siyo mrefu
 
Hayo ni mambo madogo na yanarekebika.

RAIS wetu ni Mh. Samia Suluhu Hassan. Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano- Kazi Iendeleee.
Ndiyo moto yetu na tumezika Hapa Kazi Tu kumbe hapa Ufisadi tu kwa kuchomeka watu wake maeneo muhimu ili kuwa na pipe chini chini la kutuibia. Mnakuja front na kapisi ka Tanzanite kumbe makubwa yako chini ya carpet. Kazi imeisha hiyo.
Mtu yoyote hawezi kuisaliti CCM, we subiri utaona
 
Ni kweli, naye huyu kakosea, nimemsahihisha!
Wewe mwenyewe haupo makini hapo namba tano Samia alilenga kusema Bunge la Bajeti na siyo Bunge la Jamhuri.

NB vijana fanyeni kazi kwa halali njaa zitawaua pale sponsor anapokufa.
 
Wasukuma na team jiwe(wapenda ubabe) mna haha sana.... Mtakufa kihoro kama mzee wenu kenge nyie
 
Wewe kweli ni jinga MATAGA wahedi.Hujui hata kwanini Lissu yupo Ubeligiji.Tundu Lissu ni Mtanzania halisi tena huenda ni Mtanzania zaidi ya Jiwe ambaye hatujui kama ni Mrundi au Mtanzania.Manake ana roho mbaya kuliko hata lucifer.Shame on you!
Lissu ni Mbelgiji sio MTZ
 
Mhhh, kwa staili hii hata siku akikosea kutamka neno Basi itakuwa nongwa
Kuna tatizo umakini unatakiwa kwa mfano alipotangaxa maombolezo kuwa yatakuwa siku 14 maraisi wa mataifa ya n
nje yakatangazia nchi zao kuwa bendera na sombolezo yatakuwa siku 14 !! Alipobadilisha kuwa ni siku 21 nje hawakubadilisha wakakaa siku 14 maombolezo yakaishia hapo na bendera zao kutokuwa nusu mlingoti tena !! Kama kuna mtu alimwandikia hivyo kuwa ni siku 14 badala ya 31 inabidi afungashwe virago na alishafungashwa virago mapema tu kapelekwa bungeni wengine wamepelekwa kwingine hawako ikulu tena. Walimchomekea aonekane bogus wakamzingua na yeye akawazingua
 
Unafiki wake nini, mbona hayati nae alikuwa hivo hivo wakati anamuambia JK asafir tu ili alete mahela, alivoingia unakumbuka akasemaje na akatendaje?

Mtateseka sana, nchi imechukuliwa na CDM kiulaini bila hata push up yani.
Hata kwa Hayati Magu mlisema anafuata sera za Chaggadema baadae mkageuza Ungo angani kweli sijawahi kuonana watu wa ajabu kama wafuasi wa Lissu.
 
naona unalalamikia vitu vya ajabu ww. kuna protocol za kiusalama.
wanaomtibu rais ni madkatari wa usalama, wanamlinda ni usalama. wana protocol zao.

waziri mkuu mwenyewe alikuwa hajui, vp mwenyewe alifichwa hali ya rais. kila kiongoiz alikuwa anakuja na lake.

unataka ujue identity zao ili iweje? ulitaka watangaze ili iwe vip?

they did their best but wakaishia hapo.
Kama raiya hatuna haki ya kuhoji na kujua?
ukimjua adui utajua jinsi ya kujilinda.
 
Back
Top Bottom