Sawa Bashite lakini utatoa matokeo muda siyo mrefuUpewe wewe Kama unaona mama Hawezi.. Mlizoea Kufokewa badala ya kujituma na kufuata miongozo kwa kuheshimiana na kuongozana. Mama Hafoki ila ujumbe unafika na tena ukiwa na impact kubwa,..
Mtu yoyote hawezi kuisaliti CCM, we subiri utaonaHayo ni mambo madogo na yanarekebika.
RAIS wetu ni Mh. Samia Suluhu Hassan. Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano- Kazi Iendeleee.
Ndiyo moto yetu na tumezika Hapa Kazi Tu kumbe hapa Ufisadi tu kwa kuchomeka watu wake maeneo muhimu ili kuwa na pipe chini chini la kutuibia. Mnakuja front na kapisi ka Tanzanite kumbe makubwa yako chini ya carpet. Kazi imeisha hiyo.
Wewe mwenyewe haupo makini hapo namba tano Samia alilenga kusema Bunge la Bajeti na siyo Bunge la Jamhuri.
NB vijana fanyeni kazi kwa halali njaa zitawaua pale sponsor anapokufa.
Acheni kuaminisha Watanzania kuwa Wasukuma hawakubaliani na utawala uliopo Sasa, hizo ni roho za wasaka Tonge tuu.Wasukuma roho zinawauma
Lissu ni Mbelgiji sio MTZWewe kweli ni jinga MATAGA wahedi.Hujui hata kwanini Lissu yupo Ubeligiji.Tundu Lissu ni Mtanzania halisi tena huenda ni Mtanzania zaidi ya Jiwe ambaye hatujui kama ni Mrundi au Mtanzania.Manake ana roho mbaya kuliko hata lucifer.Shame on you!
Kuna tatizo umakini unatakiwa kwa mfano alipotangaxa maombolezo kuwa yatakuwa siku 14 maraisi wa mataifa ya nMhhh, kwa staili hii hata siku akikosea kutamka neno Basi itakuwa nongwa
Hata kwa Hayati Magu mlisema anafuata sera za Chaggadema baadae mkageuza Ungo angani kweli sijawahi kuonana watu wa ajabu kama wafuasi wa Lissu.Unafiki wake nini, mbona hayati nae alikuwa hivo hivo wakati anamuambia JK asafir tu ili alete mahela, alivoingia unakumbuka akasemaje na akatendaje?
Mtateseka sana, nchi imechukuliwa na CDM kiulaini bila hata push up yani.
Ujanja ujanja mwingiMama Samia ndio mwokozi, Watanzania walikuwa wanamsubiria. Praise team mtahama nchi...
Haina effect yryote ni mdomo tu ulitelezaKuna yule aliyesema Sadam Hussein ni rais wa Libya nadhani hukumsikia wewe.
Aligombea vipi uraisi kama sio Mtz?Jiwe ndiyo najua kwamba ni mrundi,hata lafudhi na tabia zake ni Mrundi pure!Lissu ni Mbelgiji sio MTZ
Kama raiya hatuna haki ya kuhoji na kujua?naona unalalamikia vitu vya ajabu ww. kuna protocol za kiusalama.
wanaomtibu rais ni madkatari wa usalama, wanamlinda ni usalama. wana protocol zao.
waziri mkuu mwenyewe alikuwa hajui, vp mwenyewe alifichwa hali ya rais. kila kiongoiz alikuwa anakuja na lake.
unataka ujue identity zao ili iweje? ulitaka watangaze ili iwe vip?
they did their best but wakaishia hapo.
Haina effect yryote ni mdomo tu uliteleza