Huyo brother yawezekana amekumbwa na post traumatic depression ya kumpoteza mwendazake. Ile sudden death imewavuruga baadhi ya ndugu zetu wa praise team. Ilichobaki TuwaombeeSoma tena ulichokiandika, huwenda upo katika hali ya hasira ama msongo wa mawazo. Ni hivi ndani ya siku 60 hivi, ukitegemea muujiza wa bei za usafiri na chakula na mafuta kushuka ghafla utakuwa hasa hujui unachokitegemea, mwendazake alikaa madarakani miaka mingapi ? Hayo unayoyasema yalipatikana ? Kama hayakupatikana unayategemeaje ndani ya siku 60 za Rais Samia ? Hatuwezi kuwajibu kuhusu madai kua rais samia anahema kwa uoga maana tunajua mnajifurahisha ma hata nyinyi mnajua mnajifurahisha tuu.