TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Ungenijua!!limekupata....
Kila mtu ana style yake ya kutawala, huwezi kumlazimisha raisi Samia atawale kwa style ya waliomtangulia kama kwa upande wake anaona haimpendezi. Ndio maana hata mitume wa Mungu Musa, Yesu, Muhammad nk walikuja kutangaza neno moja tu la Mungu lkn kwa style tofauti. Kwa sasa tunatakiwa tumuombee ili atuongoze kwa kufuata misingi ya katiba na sheria za nchi, na pale anapokosea (kama binadam mungin yoyote) tumkosoe kwa staha, lkn sio kimajungu majungu na fitina kama afanyavyo mleta mada.Anasema ukweli, Samia akumbuke kilichompata JK 2010
Ni lini tulikuwa kwenye njia sahihi?Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Mleta mada ni aina ya 'walewale" waliompotosha mwenda zake kwa kumsombea watu na wasanii ili aonekane anapendwa na anachapa kazi sana...!! Wameachwa njia panda hawajui pa kwenda...Kila mtu ana style yake ya kutawala, huwezi kumlazimisha raisi Samia atawale kwa style ya waliomtangulia kama kwa upande wake anaona haimpendezi. Ndio maana hata mitume wa Mungu Musa, Yesu, Muhammad nk walikuja kutangaza neno moja tu la Mungu lkn kwa style tofauti. Kwa sasa tunatakiwa tumuombee ili atuongoze kwa kufuata misingi ya katiba na sheria za nchi, na pale anapokosea (kama binadam mungin yoyote) tumkosoe kwa staha, lkn sio kimajungu majungu na fitina kama afanyavyo mleta mada.
You should accept he is in hell burning there
Huna lolote we sukuma gang. Kwa huyo Maghufuli mikataba imewahi kuwa wazi ?!. Ni lini iliwahi kuwekwa wazi mikataba ?! Wapinzani Cdm wamekuwa wakidai miaka yote mikataba ipitishwe bungeni kwa kujiridhisha lakini Ccm na serikali haijawahi kuwa tayari.
Mwacheni Mama afanye kazi yake. Na daima hawezi kuongoza sawa na huyo Maghufuli wako. Maghufuli mwenyewe kasoro zilikuwa kibao
MATAGA ndio mnaona anapotea maana mlizoea kuimba pambio na ngonjera ila mpewe buku 7, sasa huyu muislam safi hana upuuzi huo, SUKUMA GANG nao ni wale waombolezaji ambao mpaka sasa hawaamini kinaachoendelea.Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Linatokea wapi hilo genge au unaongea ndoto zako za mchanaSukuma gang was nothing compare to what is coming , mtasema bora sukuma gang lilikua ndani ya Tanzania , hili gang linalokuja ni balaa, halina mzaha hata kidogo
Ile TIMU KUSIFIA kila jambo imejigeuza kuwa TIMU KUPINGA kila atendacho namba moja... Wanachokisahau ni kuwa Mama ndiye Rais JMT na si vinginevyo WANATAKA NDIO NDIVYO, HAWATAKI NDIO NDIVYO.Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Ilani ya CCM haisemi kiongozi awe jambazi au aishi kwa mapambio...Kwahiyo unataka Mama Samia asifuate ilani ya CCM? Basi mwambie afuate ilani ya CDM!!
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Kutesa kwa zamu. Moi naye alipataga u Rais hivi hivi. Mwanzoni alionekana kama mwalimu bwege bwege fulani. Alipoapa tu akakunjua makucha . So usishangaeSukuma gang was nothing compare to what is coming , mtasema bora sukuma gang lilikua ndani ya Tanzania , hili gang linalokuja ni balaa, halina mzaha hata kidogo