Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kama kipind cha hayati mlivokua mna praise na ku worship all day 🤣🤣 hata kama alikua wrong, slogan ni praise and worship. Na bado mtanyooka tu, shubaaamiiit!!kiongozi aliyefeli yeye na wafuasi wake huwa hawajiamini yaani ukiandika ujumbe hata hauwahusu wao na kiongozi wao wanakuja juu kukushambulia
kiongozi aliyefeli unaweza kumwambia kuwa umetishaa na akafurahi na akajiona kweli yuko matawi hata siku kama ana mwezi mmoja madarakani
kiongozi wa namna hii na wafuasi wake huishia kuaibika kupoteza mvuto na kuleta mateso na manyanyaso kwa wananchi wako