mpango this...mpango that....blablala....embu tuondolee upuuzi wako hapa."Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.
[emoji117]Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..
[emoji117]Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.
[emoji117]Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.
[emoji117]Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"
"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..
[emoji117]Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.
[emoji117]Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
Only to come from a low mind."Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.

Daaa kaazi mnayo!hizo fedha za ndani sawa je hilo deni la taifa lilikoongezeka kwa trilioni 25 kwa kipindi cha miaka 5, unasemaje?huyo meko alikuwa mtalaam wa kupika data tu, makusanyo yapi hayo ya trilioni 2, ripoti ya cag iliisoma yote?kasome yote ndio utajua ukweli.kuhusu heroin ina maana hujui hadi leo kinachoendelea? Mwaka jana wakati USA, walipotoa ripoti ya uchunguzi kuwa pwani ya dar ndio imekuwa limekuwa lango la kuingilia madawa ya kulevya ulikuwa utawala wa nani?tena bashite alikuwa bado RC!!"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.
👉Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..
👉Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.
👉Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.
👉Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"
"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..
👉Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.
👉Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
Walikusanya kodi nyingi mno,wakabana matumizi,wakazuia ufisadi mnoooo,wakaweka rekodi mbalimbali za makusanyo kila mwezi,uchumi ukapaa..sasa swali la msingi hilo deni la taifa lilivyopaa pesa ilipelekwa wapi??wakati miradi yote ni fedha za ndani na fesha zilikuepo za kutosha??maana makusanyo ni ya kutosha na matumizi tumebana na mishahara hatujaongeza"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.
👉Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..
👉Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.
👉Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.
👉Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"
"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..
👉Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.
👉Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo
Walikusanya kodi nyingi mno"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.
👉Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..
👉Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.
👉Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.
👉Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"
"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..
👉Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.
👉Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
Na mpigwa miti anaendelea kushikishwa kuta vile vileMzoga wenu unaliwa mtaro na funza
Kajipiha Miti mwenyewe sisi tuko huku majuu swaafiNa mpigwa miti anaendelea kushikishwa kuta vile vile
Kumbe ni wewe bwashee, basi endelea kufaudu hiyo miti swaafiKajipiha Miti mwenyewe sisi tuko huku majuu swaafi
Huyu hakuwadhulumu watumishi stahiki zao.Huyu ndiye fisadi papa na kiongozi wa genge la mumiani la 'msoga gang'
Biashara zisizolipa kodi na unga kuuzwa na mwana wa mfalme kwani ni madogo hayo?Huyu hakuwadhulumu watumishi stahiki zao.
Pension zao walipata na kikokotoo cha 50%.
Tunakula hewa safi ya Malkia hapa IrelandKumbe ni wewe bwashee, basi endelea kufaudu hiyo miti swaafi
Wewe tunakujua kuwa ni mpinga maendeleo na utangamano kwa watanzania.Ni kweli sasa Raisi Samia anafuata nyayo za Mareemu Magufuli na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo nae anavyozidi kuzoea mazingira mepya ,tunasema ameanza kushika hatamu za uongozi na kuanza kujijengea himaya.
Nionavyo hana jipa ni yayo kwa yayo maji ya futi na nyayo.
Ni bora sasa CCM tujipange kuwa na chaguo la Raisi mwenye muelekeo,huyu hadi leo namuona bado anapapasa ,na ameshaanza kushindwa kushughulikia hotuba ya mkaguzi wa mahesabu,wakuu tuelezeni ni wapi ameyachukulia hatua maovu yote yaliyogundulika na kugunduliwa na CAG.
Raisi Samia sasa namuona ni mutu au Raisi wa matukio,tutarajie kumuona sana kwenye makongamano mahafali ,a mambo makubwa makubwa ikiwemo misafara huenda akamshinda vasco wa Tz.
Alafu mama Samia yupo vizuri kwa kuongea hata mbele ya wasomi na lugha kwake siyo isssue hivyo haoni shida kushiriki makongamanoNi kweli sasa Raisi Samia anafuata nyayo za Mareemu Magufuli na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo nae anavyozidi kuzoea mazingira mepya ,tunasema ameanza kushika hatamu za uongozi na kuanza kujijengea himaya.