Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wewe ni hovyo kabisa, mada zako nyingi zinaonesha unaeleza hisia zako badala ya kuandika facts. Uko biased sana na Rais

Kwa hiyo unabisha corona haijashusha ukuaji wa uchumi TZ?

kama Serikali haitangazi makusanyo ya kodi unataka kusemaje?
 
"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.

[emoji117]Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..

[emoji117]Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.

[emoji117]Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.

[emoji117]Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"

"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..

[emoji117]Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.

[emoji117]Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
mpango this...mpango that....blablala....embu tuondolee upuuzi wako hapa.

mpango na jiwe walipika sana data za uchumi wa nchi hii.
 
Only to come from a low mind.

Taifa ni mkusanyiko wa watu wote, wenye uelewa na wajinga, wote ni Watanzania. Huyu naye ni Mtanzania mwenzetu.
 
Sukuma gang on the beat [emoji2][emoji2][emoji2]
Itoshe kusema mtapata tabu sana.

Samia atake asitake tutamuongezea muda [emoji2][emoji2][emoji2]
 
"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.

👉Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..

👉Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.

👉Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.

👉Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"

"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..

👉Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.

👉Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
Daaa kaazi mnayo!hizo fedha za ndani sawa je hilo deni la taifa lilikoongezeka kwa trilioni 25 kwa kipindi cha miaka 5, unasemaje?huyo meko alikuwa mtalaam wa kupika data tu, makusanyo yapi hayo ya trilioni 2, ripoti ya cag iliisoma yote?kasome yote ndio utajua ukweli.kuhusu heroin ina maana hujui hadi leo kinachoendelea? Mwaka jana wakati USA, walipotoa ripoti ya uchunguzi kuwa pwani ya dar ndio imekuwa limekuwa lango la kuingilia madawa ya kulevya ulikuwa utawala wa nani?tena bashite alikuwa bado RC!!
 
"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.

👉Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..

👉Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.

👉Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.

👉Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"

"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..

👉Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.

👉Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo

Walikusanya kodi nyingi mno
Walikusanya kodi nyingi mno,wakabana matumizi,wakazuia ufisadi mnoooo,wakaweka rekodi mbalimbali za makusanyo kila mwezi,uchumi ukapaa..sasa swali la msingi hilo deni la taifa lilivyopaa pesa ilipelekwa wapi??wakati miradi yote ni fedha za ndani na fesha zilikuepo za kutosha??maana makusanyo ni ya kutosha na matumizi tumebana na mishahara hatujaongeza
 
Ndio tunachotaka atekeleze miradi tutampa kura tofauti na hapo tutamfurusha yeye na CCM yake
1620480678468.png
 
SASHA anatupeleka kuzimu,tokea lini mwanamke akawa kiongozi wa familia? Hawa huwa hawana msimamo na ndo maana unaweza mtongoza leo akakutukana lakini kesho akakujibu vizuri.
 
Too early. Nchi siyo kama kibanda cha mbuzi. Pamoja na mapungufu kama binadamu yeyote, naona ameanza vizuri hasa katika kuifungua nchi yetu. Akifanikiwa katika hilo, umaskini utashuka sana na watu watakuwa wa kisasa zaidi badala ya kuwa wamejazwa mavi ya shingoni na jazba zisizo na mashiko za kuchukia chochote kigeni, hata kuzungumza Kiingereza! Ila hii kufungulia ni 'very tricky' na wengi hawakufaulu na wengine wameungua vidole sana. Wakumbuka Tanzania tulikuwa na viwanda hata vya kuunganisha ma Scanier?

"Ufunguzi' wa kiholela umevisafisha hivyo, kama ulivyosafisha viwanda vya chuma, mbolea (kikubwa zaidi Africa nyeusi), precise metal technology (nadhani cha pekee Afrika), general motors....nk.

Namwombea tu apate washauri wazuri waliofanya mambo, sio waliosomea tu. Serikali yataka practical hands. Ndiyo maana Uingereza Waziri Mkuu, licha ya kusoma vizuri, anakuwa katika siasa na management 'donkey years', kabla hajakabidhiwa cheo hicho.
 
Ni kweli sasa Raisi Samia anafuata nyayo za Mareemu Magufuli na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo nae anavyozidi kuzoea mazingira mepya ,tunasema ameanza kushika hatamu za uongozi na kuanza kujijengea himaya.

Nionavyo hana jipa ni yayo kwa yayo maji ya futi na nyayo.

Ni bora sasa CCM tujipange kuwa na chaguo la Raisi mwenye muelekeo,huyu hadi leo namuona bado anapapasa ,na ameshaanza kushindwa kushughulikia hotuba ya mkaguzi wa mahesabu,wakuu tuelezeni ni wapi ameyachukulia hatua maovu yote yaliyogundulika na kugunduliwa na CAG.

Raisi Samia sasa namuona ni mutu au Raisi wa matukio,tutarajie kumuona sana kwenye makongamano mahafali ,a mambo makubwa makubwa ikiwemo misafara huenda akamshinda vasco wa Tz.
 
Wewe tunakujua kuwa ni mpinga maendeleo na utangamano kwa watanzania.

Na uliingia nchini kutoka burundi kuja muvuruga umoja wetu.
 
Ni kweli sasa Raisi Samia anafuata nyayo za Mareemu Magufuli na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo nae anavyozidi kuzoea mazingira mepya ,tunasema ameanza kushika hatamu za uongozi na kuanza kujijengea himaya.
Nionavyo hana jipa ni yayo kwa yayo maji ya futi na nyayo.
Ni bora sasa CCM tujipange kuwa na chaguo la Raisi mwenye muelekeo,huyu hadi leo namuona bado anapapasa ,na ameshaanza kushindwa kushughulikia hotuba ya mkaguzi wa mahesabu,wakuu tuelezeni ni wapi ameyachukulia hatua maovu yote yaliyogundulika na kugunduliwa na CAG.
Raisi Samia sasa namuona ni mutu au Raisi wa matukio,tutarajie kumuona sana kwenye makongamano mahafali ,a mambo makubwa makubwa ikiwemo misafara huenda akamshinda vasco wa Tz.
Alafu mama Samia yupo vizuri kwa kuongea hata mbele ya wasomi na lugha kwake siyo isssue hivyo haoni shida kushiriki makongamano
 
Back
Top Bottom