Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kuna maelfu ya Watanzania wanaoozea jela bila dhamana ambao waliswekwa humo enzi za jiwe pasipo ushahidi wowote wa mokosa yao. DPP aliyeteuliwa na jiwe akijisikia kuwaachia anasema tu sina mpango wa kuendelea na kesi na wanatoka bila fidia yoyote baada ya miaka mingi kuteseka gerezani.
 
Sidhani kama kuna kukurupuka. Hii isuue ni ya siku nyingi na watu wamepiga kelele sana na huyu mutu ni kwa vile mwenda zake alimlea. Mama amefanya anayotakiwa kufanya full stop.

Kiongozi kazi yake kuonesha njia katika safari ya maendeleo na iwapo katika safari hiyo wale anaowaongoza watapiga kelele ni lazima asimame achunguze kujua kinachoendelea!!! Huo ndio uongozi uliotukuka.
 
Hamkulalamika haya wakati anafanya mwendazake. mbona DED wa kisarawe alitumbuliwa tena kwenye mkutano wa hadhara kwa hisia tu kuwa alikuwa anakula kitumbua cha mwendazake na mkakaa kimya?
 
Kmlammko video zote zile zikionyesha Sebaya akionea watu akiwapiga na voice alizorekodiwa akitaka rushwa unasema gossip ?! We msengelema tutolee akili mavi pumbavu mshamba weweg
 
Hamkulalamika haya wakati anafanya mwendazake. mbona DED wa kisarawe alitumbuliwa tena kwenye mkutano wa hadhara kwa hisia tu kuwa alikuwa anakula kitumbua cha mwendazake na mkakaa kimya?

Yule alikuwa DAS na sio DED aliyehongwa cheo kwa kuhamia ccm!!!
 
Attachments

  • 2773202-4821ae9e9d8f0edd3dfa37412ea0253e.mp4
    4.5 MB
Hi
Hiyo kama kweli ilitokea mie siiungi mkono! Ni mbaya sana kuonewa i see!
 
Mwendazake hakuwa anafuata rule of law. Ametumbua watu wengi bila kufuata utaratibu (bila evidence -maneno ya barabarani) na wengine kupelekwa mahakamani bila evidence e.g. CEO wa MSD. Mama siyo tu anakutumbua na pia anakupa adhabu baada ya kujitetea. Anatumbua unajitetea na kupewa punishment
 
Imebaki kidogo Sana mvae chup kichwan maana malalamiko yenu yamezid wenzenu tulivumilia enz za dikteka jiwe
 
Hamkulalamika haya wakati anafanya mwendazake. mbona DED wa kisarawe alitumbuliwa tena kwenye mkutano wa hadhara kwa hisia tu kuwa alikuwa anakula kitumbua cha mwendazake na mkakaa kimya?
Acha ujinga, yule das kavuruga ndoa za wanawake wengi sana wasiojitambua! Kutumbuliwa kwake kulistahiri!
 
Alitakiwa amtumbue kama ana ushahidi
Tumia akili kidogo uliyobakiwa nayo kutambua kuwa Rais hakurupuki Bali hutumia mawazo na ushauri wa wasaidizi wake pamoja na vyombo vyake vya uchunguzi kufanya maamuzi!
Hadi kuviagiza vyombo vyake vya uchunguzi kumchunguza kwa maana anahitaji ushahidi na mashahidi ili Sheria ichukue mkondo wake.
Acha kujifanya mjuaji wa kila kitu!
 
Zamu kwa zamu tulieni
 
Acha ujinga, yule das kavuruga ndoa za wanawake wengi sana wasiojitambua! Kutumbuliwa kwake kulistahiri!
Na wewe acha usenge, hata sabaya naye kaua, katesa na kufilisi watu wengi waliokuwa wanaonyesha kupenda siasa za upinzani. Kusimamishwa kwake na kuchunguzwa kunastahili
 
Una uhakika na unachokinena hapa??
 
We kumbe mtheeenge,,kwiyo hata ayo machache uliyoyahainisha unayaona ya kawaida punguwani mkubwa wewe,,,

Ivi nyinyi wasukuma mmerogwa au mnafanya kusudi!!!!!?.
 
Na wewe acha usenge, hata sabaya naye kaua, katesa na kufilisi watu wengi waliokuwa wanaonyesha kupenda siasa za upinzani. Kusimamishwa kwake na kuchunguzwa kunastahili
Heh, usenge tena!? Kama wamefilisiwa kwa mujibu wa sheria sioni shida! Hata hivyo kwa siasa za wapinga vyote walioionesha miaka ya hivi karibuni...kufirisiwa lilikuwa fungu lao😜!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…