Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

TFF....... "Kama hukuridhishwa na jambo lolote, malalamiko yaje baada ya mechi"...

Hivyo inapendeza kuona umeleta malalamiko baada ya game!
 
Mwendazake kawalusha tango piri vijana wakajisahau......wakaanza kupiga pesa deal kwa kina la uhujumu uchumi na wapinzabi....kila zama na kirabu chake....yana mwisho hayooo ona sasa
 
Hivi Kabwe mkurugenzi wa jiji la Dar alitumbuliwa sio kwa allgetion? Ni nani ambaye Magu alimtumbua angalau uchunguzi ukafanyika? Wengi walitumbiliwa na ikaishia hapo na ili kujua ndugu yenu huyu alikuwa anatumbua kwa majungu na wapeleka majungu mlikuwa ni ninyi, wengi wa aliowatumbua wamerudi kazini awamu hii. Umejifunza jambo japo? Je kingekuwepo na proper procedures katika kuwatumbua unafikiri leo wangwruso?
Huu ndio ulikuwa upumbavu wa mwenda zake.
 
Kama anauhakika na hizo allegations kwa nini asimtumbue nq kuteua wengine?
kuna process za kumtoa mahali. kuna taratib ma sheria.. si kufukuza watu kama mbwa.

ww allegation zako una uhakika nazo au umeandika emotions influenced lines with no clue?
 
Jiwe ametembaza bakuli miaka yake yote mitano huku akiwapimbuza anajenga nchi kwa pesa zetu za ndani. Kipindi chake dini la taifa limekuwa kwa kasi kuliko wakati wote.
Nyie tuchunguzeni tu, mtakapomaliza kutuchunguza, nchi itakuwa low income country tena chini ya somalia na south sudan! Yetu macho kushuhudia mnaanza tembeza bakuli[emoji34][emoji34]!
 
Alitakiwa amtumbue kama ana ushahidi

Huo ushahidi anapaswa kukuletea wewe?? Kwa mantiki yako, kufukuzwa (sio hata uchunguzi tu) kwa watu kama akina Makonda, Gambo - uliletewa ushahidi?

Una haki kabisa ya kumpinga mama - lakini basi kuwa consistent!! Kuwa objective!!
 
sabaya tafuta rungu uwe mlinzi, akwii au kawasuke wanawake rasta.
 
 
Tatizo nililoliona kwenu nyinyi pingapinga kwanza hamjui kujenga hoja, mna MIHEMKO Sana.
Kumbukeni Raisi kabla hajaingia uraisi alikua makamu wa Raisi. Anaifahamu hii nchi na visa vyake vyote. Na SASA kwa MIPANGO ya Mungu yeye ndo Raisi. Ana uzoefu wa uongozi wa kutosha, Tena uliotukuka.
Eleweni uraisi ni taasis. Na mama hajakurupuka kabisaaa. Ndo maana kajipa muda halafu akamsimamisha kupisha uchunguzi. Na huo ndo utaratibu. Nyinyi mlitaka mtu Ana malalamiko chungu nzima mpaka kapiga kada wa chama chake mwenyewe, achunguzwe akiwa ofisini??
Nyinyi ni wakurupukaji. Mwacheni mama yetu atuongoze, na ninaamini atatenda haki. NAYAZUNGUMZA HAYA nikiwa CCM pure, kindakindaki. Maana mnazusha eti Wana ccm hawapendi maamuzi ya mama, eti wamekasirika. Sisi tunaokitakia chama mema tupo bega kwa bega na mwenyekiti wetu na Amiri jeshi mkuu naa Raisi wetu her excellence hon. Samia Suluhu Hassan.
 
Kama anauhakika na hizo allegations kwa nini asimtumbue nq kuteua wengine?

Na bado angemtumbua ungekuja na mada hii hii - kuwa hakuna ushahidi!! Hauko objective, sasa ni wazi ulichotaka kuona ni Sabaya kubaki kazini tu!! Hutaki achunguzwe wala afukuzwe - kwa sababu unasema hakuna ushahidi.

Hivi upumbavu umefikia kiwango hiki?!![emoji15]
 
Ninaandika hapa nikiwa timamu na mwanaCCM.

Muacheni Rais atekeleze wajibu na majukumu yake kama alivyoapa.

CCM tuna mengi ya kujibu kwa umma. Tutumie nafasi hii adhimu kuliunganisha taifa na siyo kujifanya sisi ni Watanzania zaidi ya wengine
 
Wamerudishwa kimajungu tu na kutaka kujikomba mtu apendwe!
 
Kama anauhakika na hizo allegations kwa nini asimtumbue nq kuteua wengine?
Angemtumbua moja kwa moja angekuwa amemnyima haki ya kusikilizwa.

Kumsimamisha ina maana wakati wa uchunguzi naye atapewa fursa ya kujitetea.
 
Ugoro wa makuyuni
 
Hujui unavhoandika hapa ni utumbo ulio sawa na pumba
 
Baba yako dikteta alipomtumbua marehemu Kabwe kwenye mkutano wa hadhara pale Kigamboni ulikuwa bado mtoto mdogo eti?

Acheni chuki zenu kwa mama nyinyi mataga. Mwacheni mama anyooshe nchi.
HAKI HUINUA TAIFA
 
Mleta mada kajiunga tarehe 2/10/2020 ni uharo wa shetani Magufuli na shoga wa Sabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…