ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
hamkutegemea kama awamu yenu ingeisha kindezi namna ile poleniMimi namshangaa sana Mama.....cheap popularity itammaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamkutegemea kama awamu yenu ingeisha kindezi namna ile poleniMimi namshangaa sana Mama.....cheap popularity itammaliza
10000% truSasa naona tanzania inafunguka kiuchumi.
Mama anafanya kazi kubwa sana tena sana.
Mama sasa anatupeleka kwenye uchumi wa kati kwa kila mtanzania kuishi maisha ya kiwango cha kati kwa uhalisia sio nadharia
Ndani ya nusu muhula akashindwa pia kuwapa maelfu ya watu maji katika mji huo huo aliootesha maghorofa hafifu amabayo ndani ya miongo miwili yatakuwa kama magofu.
Unayo haki ya kuwa na maoni!
Tatizo ni kwamba akili yako inafikiria zaidi watu waliopo nje ya makao makuu kwenda makao makuu kuliko viongozi kutoka makao makuu kwenda wa watu aliopo nje ya makao makuuMkuu, hizo habari za kutatua matatizo inatakiwa kila wilaya na kata kuwe na vituo vya kutatua matatizo, na kila jimbo liwe na ofisi ya mbunge ambayo ina access kila kitu mtandaoni.
Tungerahisisha sana zoezi zima na kuondoa haja ya watu kusafiri kwenda Dodoma.
Hilo moja.
Pili, katika nchi ambayo watu wenye biashara, figisu, petitions etc, wengi wapo Dar, mji wenye watu zaidi ya 10% wa nchi nzima na influentials walio zaidi ya 50% ya nchi, unaweza kuondoa mji mkuu Dar kupeleka Dodoma, ili uwarahisishie watu kupata huduma za mji mkuu, halafu kinachotokea ni safari za watu wa Dar kwenda Dodoma zikawa ndiyo zinatawala. Hapo unachofanya ni kuondoa huduma Dar na kuwafanya watu wa Dar waende Dodoma kwa kiasi kikubwa, ukifikiri unawasaidia watu wa mikoani wafike Dodoma kwa urahisi.
Hesabu rahisi tu zinaonesha mji wenye watu wengi, viwanda vingi, biashara nyingi etc ndiyo unafaa kuwa mji mkuu.Watu wanamaliza kila kitu hapo.Unatoka Wizarani unaenda bandarini unaenda viwandani umemaliza shughuli, unarudi ulikotoka.
Leo mtu akitaka kufanya hivyo itabidi asimame Dododma halafu aende Dar pia.
Hata kama anatoka Rufiji mzunguko unaongezeka badala ya kupungua.
Dar is a natural hub and harbour, haiepukiki.
Kati ya watu milioni moja kutoka Dar kwenda Dodoma kumuona kiongozi au kiongozi mmoja kutoka Dodoma kuja Dar kuwaona watu milioni moja kipi ni rahisi na cha gharama nafuu zaidi zaidi?Tatizo ni kwamba akili yako inafikiria zaidi watu waliopo nje ya makao makuu kwenda makao makuu kuliko viongozi kutoka makao makuu kwenda wa watu aliopo nje ya makao makuu
Na pia watuoneshe hivyo viwanda venyewe maana hadi sasa kuna viwanda (chereheni 3) vingi tu vimechakaa. Viwanda kama mashine za kutotoleshea vifaranga, mashine za kufyatua matofali, misumeno ya kukatia mbao, misumeno ya kukatia nyama, mashine za kusaga, nk walivyotuaminishwa kwamba serikali ya mwenda imejenga tunaomba waje watuoneshe vivipo; wasidhani kila mtanzania ni ndondocha.Tuonesheni Tanzania ya viwanda ile kwenye ilani ya 2015..
Hebu acha uongo wewe kumkwamisha nini na kila kitu sasa hivi kiko wazi. Atakwama akiendekeza mafisadi. Asikumbatie mafisadi kuna wayu wanapenda pesa bila kufanya kazi akae chonjo. Aidha haohao wapambe wake wanakitamani cheo. Mama Samia kaza buti ili ule usemi wanawake tunaweza ueleweke mwaka huu!Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Huyo ndiye Rais wa nchi hiyo cheap popularity inaingiaje?
Mkitaka msitake yeye ndiyo kiongozi mkuu wa nchi na ndiye aliyeachiwa hatamu ya uongozi, mbona aliyepita kuna miradi aliiwacha hivyo hivyo?
Tuwe na subira, kwani yeye hajatoka upinzani ni kiongozi wa CCM ileile na ilani ileile kinachotofautiana ni utendaji tu. Ukizingua unazinguliwa.
Wewe acha propaganda za kijinga JPM haikumaliza nini? Wakati tunaenjoy matunda yake wengine wanaaambulia kuifungua tu! Akaze buti mama asituangush kwa kweliKama Jpm haikummaliza, mama haitammaliza.wewe utakuwa unatumika na mabeberu
Mbona serikali ya MAGUFULI haikutoa ripoti ya miradi aloacha kikwete?? Una CHUKI binafsiHabarin wadau polen na majukum pia polen kwa mzigo huu wa kiongozi Tulie nae na bila shaka tusipo Tafuta njia za kuutua utatuvunja mgongo..
Mfano mzuri sana usiotoka akilini mwangu ni ule wa rais Chiluba na makamu wake Mwanawasa.Sisi wengine ni Funzo ( Fundisho ) tosha kuwa unaweza ukawa na Mtu unayemuamini kumbe Yeye ndiyo akawa 'Snichi' wako Mkuu
Kiongozi ukiwafunga watu wenye akili ya kuzalisha ajira, hizo ajira utazitoa wapi kwa hawa watanzania wanaozaa sanaKaribuni sana Mtaani Wazee wa Uamsho, Karibu sana Mtaani Habinder Seth, Karibu sana Mtaani Papa Musofe na GENTAMYCINE nafurahi angalau sasa Muziki wa Dansi utarejea na ile tabia ya Wanamuziki Kutunzwa 'Midolari' Ukumbini itarejea..
Mtakoma mwaka huu. Msiopenda haki hamieni nchini Somalia.Karibuni sana Mtaani Wazee wa Uamsho, Karibu sana Mtaani Habinder Seth, Karibu sana Mtaani Papa Musofe na GENTAMYCINE nafurahi angalau sasa Muziki wa Dansi utarejea na ile tabia ya Wanamuziki Kutunzwa 'Midolari' Ukumbini itarejea..