Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Write your reply....Hakuna Ndoa isiyokuwa na changamoto....Halikathalika Urais mbona hukusema na uzuri umeo gelea .madhaifu tu.?
 
Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.

Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:

1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean WTF tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.

2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
View attachment 2422604

3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
View attachment 2422607

4. Udini, bibi udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na kuwapiga risasi wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.

5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"

View attachment 2422603

6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!

7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"

View attachment 2422615
8. Ni mpenda anasa na starehe. Imagine kila kukicha anawaza kusafiri huku na huko na hakuna tija ni kuungurumisha mindege na magari kuchoma mabillion ya fedha za walipa kodi. Kuna kipindi kama mnakumbuka kutoka Dar to Dodoma alikua anapanda boing wakamshauri ataziua umbali uo ni mdogo kwa safari ya ndege kubwa vinginevyo hata kutoka Chamwino kwenda Mpwapwa angekuaanawasha boing.

9. Hii ni bonus. Bibi ni limbukeni, seriouslly niambieni kulikua na ulazima gani kubadili nguo mara nne katika ziara yake ya hapo Ug kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta bla bla bla. Na hata katika ziara nyingine bibi ni mtu wa mashow off za kishamba, ufahari mwingi unajiuliza kero za wananchi zimekwisha mpaka bibi kuamua kutumia muda katika kubadili mavazi ya gharama mara tano kwa siku, ebo !!
Kweli yeye hana sifa hizo sema tu yupo kwa mjibu wa katiba.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la taifa hili limejaa ujinga sana tunaleta siasa mpaka kwenye vitu vya msingi.
Yani leo ukikosoa hata kitu kinaonekana kwa macho ya kawaida tu usishangae kuitwa sukuma gang au chadema kumbe wengine hatuna hata chama tuna uzalendo wa nchi tu.
 
Sio maparachichi tu. Data hazidanganyi. Ni kipindi cha Samia ambapo kwa data za bank kuu za nchi za jirani za Kenya na Uganda takwimu zimeonesha Tanzania imeuza zaidi kwenye hizo nchi kuliko wao walivyouza kwetu na hilo halijawahi kutokea before.

Au nalo hilo unabisha?
Tokea dunia imeumbwa.
 
Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.

Back to my point. Bibi hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:

1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean WTF tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.

2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
View attachment 2422604

3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
View attachment 2422607

4. Udini, bibi udini upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na kuwapiga risasi wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.

5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"

View attachment 2422603

6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!

7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"

View attachment 2422615
8. Ni mpenda anasa na starehe. Imagine kila kukicha anawaza kusafiri huku na huko na hakuna tija ni kuungurumisha mindege na magari kuchoma mabillion ya fedha za walipa kodi. Kuna kipindi kama mnakumbuka kutoka Dar to Dodoma alikua anapanda boing wakamshauri ataziua umbali uo ni mdogo kwa safari ya ndege kubwa vinginevyo hata kutoka Chamwino kwenda Mpwapwa angekuaanawasha boing.

9. Hii ni bonus. Bibi ni limbukeni, seriouslly niambieni kulikua na ulazima gani kubadili nguo mara nne katika ziara yake ya hapo Ug kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta bla bla bla. Na hata katika ziara nyingine bibi ni mtu wa mashow off za kishamba, ufahari mwingi unajiuliza kero za wananchi zimekwisha mpaka bibi kuamua kutumia muda katika kubadili mavazi ya gharama mara tano kwa siku, ebo !!
View attachment 2422629
Acha uvivu,kafsnye kazi.Ukiwa mvivu,hutaki kufanyakazi,wasubiri shemegi akuletee,utalalamika kila kitu.
 
Peace,
Awali niweke wazi sina chama, sio mwanasiasa ni raia ninaeipenda nchi yangu.

Back to my point. rais Samia hana sifa za kua rais nisikuchoshe fuatana na mimi:

1. Ni mtu asiejiamini hata punje " mimi ndie rais" I mean tangu lini kiongozi ajisifie kua kiongozi.

2. Hana utashi wa uongozi. Niambie kiongozi gani kila kitu anawaambia wasaidizi wake ati "hili nalo mkalitizameni" Yeye maono yake ni yapi katika muktadha wa kiongozi mwenye dira ?!
View attachment 2422604

3. Kapatikana kwa kubebwa na sio utendaji kazi wake. Kama wanawake wengine wanavyopata nafasi kwa upendeleo, haina utofauti na mtu ambaye alikua tu secretary kwenye asasi ya kiraia akashawishiwa kujiunga na siasa na kupata ubunge, uwaziri wa kupewa kisha kuzawadiwa umakamu wa raisi kisha booom !! Rais kafa yeye akawa rais.
View attachment 2422607

4. Udini, upo mpaka kwenye mifupa mpaka Ngorongoro kawagawia ndugu zake wa Oman na wazawa waMasai kuwafurusha kama wakimbizi.

5. Hana dira yoyote. Muulizeni tunaelekea wapi atajibu "hebu kalitizameni"

6. Hisia nyingi. Kiongozi unawezaje kuwaambia wasaidizi wako "kuleni msivimbiwe" au "mimi sikuumbwa kufoka" ! Kwahyo kama haukuumbwa kufoka unafanya nini kwenye nafasi ya kiongozi katika taifa la mawaziri walafi na mafisadi ?! Kwahiyo waendelee kujineemesha na wewe hautafoka uko kimya ?!

7. Hana busara ya mtawala, akisikia jambo analipuka na kushambulia watu kwa maneno. Mnakumbuka alivyo mchamba Ndugai almost 30 minutes ana mchamba Ndugai, au msesahau alivyo mchamba IGP mstaafu Siro mpaka Siro akamwambia "Chukua jeshi lako"

View attachment 2422615
8. Ni mpenda anasa na starehe. Imagine kila kukicha anawaza kusafiri huku na huko na hakuna tija ni kuungurumisha mindege na magari kuchoma mabillion ya fedha za walipa kodi. Kuna kipindi kama mnakumbuka kutoka Dar to Dodoma alikua anapanda boing wakamshauri ataziua umbali uo ni mdogo kwa safari ya ndege kubwa vinginevyo hata kutoka Chamwino kwenda Mpwapwa angekuaanawasha boing.

9. Hii ni bonus. Seriouslly niambieni kulikua na ulazima gani kubadili nguo mara nne katika ziara yake ya hapo Ug kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta bla bla bla. Ufahari mwingi unajiuliza kero za wananchi zimekwisha mpaka bibi kuamua kutumia muda katika kubadili mavazi ya gharama mara tano kwa siku
View attachment 2422629
Pamoja, umemaliza kila kitu, blessed
 
Dunia nzima huwa Hakuna Makamu wa Rais smart. Lazima Rais ateue msaidizi atakaemburuza,
 
Rais Samia Ni kiongozi atakayekumbukwa na Taifa Hili kwa maendeleo makubwa aliyoyaleta katika Taifa hili
Yataje, maendeleo ya kukaa gizani mda huu? Wewe upo Burundi nini? Praise team where are you reporting from?
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ukikopaa sanaa mikopo ikikuzidi
Unashindwa kulipaa
Benk inakamata dhamana inauzaa

Hata huyo naye anatupeleka hukooo.☝️👆👆👆👆👆
 
Sasa Hayati Rais Magufuli ameingiaje hapa? Mbona bado unahangaika naye tu karibu miaka miwili hayupo lakini bado unaweweseka tu. Vipi alikuacha na mimba yake nini!! tupo sisi tunaweza kukusaidia kulea mimba hiyo. Pole sana.
Alinipa mimba mufilisi....
Mimba ya ukabili, wizi, udini, majivuno, uongo.... hahahah kweli MUNGU wa mbinguni yupo
 
Naona hiyo mimba inakusumbua njoo basi tukusaidie kuilea mimba yako usije ukafa na stress kwa kuhangaika na marehemu ambaye amelala na hawezi kujitetea ila tupo sisi kwa ajili ya kumtetea kwa kuonyesha mazuri aliyoiachia nchi yetu.
 
Back
Top Bottom