Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke.
Description:
~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty.
~ Ana mke na watoto.
Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye biashara. Jamaa anatumia vi ration vyake kusumbua familia za watu.
Kwa uzoefu wangu wanajeshi wa kibongo huwaga nawaona watu wa kawaida sana (kihela), so kwa mtu anae wajua hawa jamaa au ambae amewahi kugombania mwanamke/demu na hawa jamaa anipe uzoefu wake please.