Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

Tega mtego siku akoenda kachukie mke wake na watoto (familia) waende wakamfumanie na washikaji na mashaosti tena wengi wanawake.

Au we kachukue mawifi wa mke wake au ndugu wa mke kisha siku ya siku tega myego akienda uende nao mumfumanie. Hapo utakuwa umemaliza kazi kirahsi na hakuna wa kukupiga ni yeye atabebana na familia yake na hao mawifi na ndoa yake na watoto wake ila we ushayamaliza upande wako. Kisha deal na hiyo pisi popoma yako
 
Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke.

Description:
~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty.
~ Ana mke na watoto.

Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye biashara. Jamaa anatumia vi ration vyake kusumbua familia za watu.

Kwa uzoefu wangu wanajeshi wa kibongo huwaga nawaona watu wa kawaida sana (kihela), so kwa mtu anae wajua hawa jamaa au ambae amewahi kugombania mwanamke/demu na hawa jamaa anipe uzoefu wake please.
Funga biashara hiyo. Timua mkeo, magonjwa mengi siku hizi. Uzoefu wangu wanajeshi wa kibongo wana mademu kibao
 
Huna nafasi naye, mapenzi kuyagawanya ni kazi huo muda uwe kwa mke mkubwa naye anakuhitaji huko matokeo yake ndiyo hayo, pole yako.
 
Nope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down

Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.


Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
We ni mwanaume kweli au wakiume?? Una umri gani??

#Ujinga mtupu
 
Nope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down
Kwa maoni yangu usideal na huyo mwanajeshi lakini shughulika kikamilifu na mke wako.

Muambie achague kati yenu wawili, bila ya hivyo utajisumbua tu. Kwa nini apokee fedha kutoka kwa mwanaume mwengine?
 
Dili na huyo kimada wako,
mgeda kama ana gobore ndani atakusambaratisha
 
We nae bishoo tu...yaan unatombe.wa my wife wako, badala ukinukishe eti uko hapa
ooh nimepata point tatu, sijui validation...bonge la nyangema yaaan[emoji848]

Kampake mtu Vaseline huko, thats how masculine react
Uyo jamaa boya saana
 
Nenda kambini kwao kuna MP na mahakama yao kashtaki la sivo kikosi cha mizinga kitakutafuta kama M23
 
We nae bishoo tu...yaan unatombe.wa my wife wako, badala ukinukishe eti uko hapa
ooh nimepata point tatu, sijui validation...bonge la nyangema yaaan[emoji848]

Kampake mtu Vaseline huko, thats how masculine react
[emoji3577][emoji3577]
 
Fahamu tu kuwa una-deal na mjinga na siku zote mjinga anatakiwa apigwe mapigo ya hatari sana na ya kushtukiza tena kwa mbali.
 
Nope this is not my mode operandi.

Mimi nataka kujua behavior ya wajeda kwenye mahusiano. What do they do ? Wanahonga sana ? Au ? I just want to know this ili nijue natumia mbinu GANI kuicontain hiyo threat.
Haya hawaongi sana ninwaongo-waongo.
What next??
 
Back
Top Bottom