Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Za kichwaniAkili ipi unayozungumzia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kichwaniAkili ipi unayozungumzia?
Kajamaa kanaleta ujinga wake hadi mtandaoni,, mavi kabisa, eti futa kauli 😂😂😂sijui anamshurutisha nani, kima huyuUlitakiwa mkuu wa kikosi kabisa[emoji123]
Hapana sidhani kama ni kweli, madhaifu kila mtu anayo kwa majeshi ya kisasa watu wengi wanaokuwa recruited huko ni tofauti na zamani wachache ndo huwa na mambo ya kiswahili swahili tu ya kutaka kujionesha onesha.Za kichwani
Atutolee ushamba wakeAnapendaga kweli kuji expose humu kuwa ni kamanda
Wengi wao ni wajingaHapana sidhani kama ni kweli, madhaifu kila mtu anayo kwa majeshi ya kisasa watu wengi wanaokuwa recruited huko ni tofauti na zamani wachache ndo huwa na mambo ya kiswahili swahili tu ya kutaka kujionesha onesha.
Ye akae huko porini atulinde na mali zetu, kazi yake ni ulinzi humu anatafuta nini!!!Ushamba wake wa mkoa anauleta mjini
Boya tuu hao..tunawagongea sana huku kitaa. We muwahi kugonga kwake kabla hajakuwahi
Mkuu pia kumbuka wanajeshi wengi wa Tz ni standard 7 na form 4 failure hivyo ujue kiwango chao cha ujinga ni kikubwa-kumbuka unapofanya argument na MTU mjinga ufahamu madhara yake na maamuzi yake.nenda nae polepole huwa wachelewi kujitoa mhanga wote mkose.
Most if them they are stupid in nature.
Tabia walizonazo kwenye mahusiano ni kama za raia wengine na tabia hutofautiana kati ya mtu na mtu, tatizo liko kwa mke wako, kama una ushahidi, fanya maamuzi sahihi, bila kuvunja sheria za nchi.Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke.
Description:
~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty.
~ Ana mke na watoto.
Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye biashara. Jamaa anatumia vi ration vyake kusumbua familia za watu.
Kwa uzoefu wangu wanajeshi wa kibongo huwaga nawaona watu wa kawaida sana (kihela), so kwa mtu anae wajua hawa jamaa au ambae amewahi kugombania mwanamke/demu na hawa jamaa anipe uzoefu wake please.
mtu anae wajua hawa jamaa au ambae amewahi kugombania mwanamke/demu na hawa jamaa anipe uzoefu wake please.
Nope this is not my mode operandi.
Mimi nataka kujua behavior ya wajeda kwenye mahusiano. What do they do ? Wanahonga sana ? Au ? I just want to know this ili nijue natumia mbinu GANI kuicontain hiyo threat.
Asante sana mkuu nimepata point ya pili.
Point ya KWANZA : ni vicheche
Point ya pili: they are illiterate.
I am still doing intelligence gathering
Huwa ni mazoba sana kwenye mapenzi Yako emotional sana.
Sema ukila manzi yake anaweza kukushoot.
Charlie Oscar (CO).... Not CEDem wako hajitambui au huna mda wa kukaa nae sana ndio mana anafanya haya. Kama umezaa nae na umepata watoto nae fanya haya.
1. Andaa mazingira ya kufilisi mtaji wa hio biashara kisiri siri ili utoe pesa yako (nenda na idea mpya ya biashara kigezo mtaji unahamishia huko).
2. Mchane mkeo live kua umejua anamahusiano na huyo mwamba ( hili lifanye ukiwa angalau umepata nusu ya mtaji/ kuuhamisha kutoka biz ya wife).
3. Majibu ya mkeo yakiwa ya kipuuzi meanz kamuelewa msela ,toa taraka na ili usiwe na shaka nenda kempu kwa Chalii Oscar (CE) wa kikosi peleka hoja yako hapo atakusaidia kwa njia salama kabisa.
Sijajua mengi ila mke wako namuona kama chenga na huenda mwamba kaambiwa dem ni single so jimbo liko wazi
ui
Wanahonga sana coz wengi wao hawajui mambo ya kupetipeti, kwao kupetipeti ni pesa.
Huyo nyumba ndogo bora akukimbie... umechukuliwa mke halali wa ndoa unakuja hapa badala ya kupambania familia yako.... mko jamani wanaume nyie....Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke.
Description:
~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty.
~ Ana mke na watoto.
Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye biashara. Jamaa anatumia vi ration vyake kusumbua familia za watu.
Kwa uzoefu wangu wanajeshi wa kibongo huwaga nawaona watu wa kawaida sana (kihela), so kwa mtu anae wajua hawa jamaa au ambae amewahi kugombania mwanamke/demu na hawa jamaa anipe uzoefu wake please.
Charlie Oscar (CO).... Not CE