Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

Najua vizuri kuliko wewe ,ila ni uandishi tu wa kutaka ujumbe ufike umeelewa mfuasi?
Muwe mnayaona mapungufu ya keyboard mnayapotezea vinginevyo ombeni kazi baraza la mitihani mkaboreshe elimu yetu huko ,tuachane na hii mitihani ya kushade na pencil ( usijae nyembe).
 
Nope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down

Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.

Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Sisemi Kwa ubaya ila wapo wengine baadhi wameungua
 
Muwe mnayaona mapungufu ya keyboard mnayapotezea vinginevyo ombeni kazi baraza la mitihani mkaboreshe elimu yetu huko ,tuachane na hii mitihani ya kushade na pencil ( usijae nyembe).
Nani ajae nyembe... Nyembe zinaishia mda 6 weeks
 
Nope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down

Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.

Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Unapoteza muda mkuu.....kama ni mkeo usisubiri ...... Ongea naye uso kwa uso
 
Kwanini unahangaika na mwanaume mwenzako? Mke ndiye kakusaliti wala hajabakwa, deal na mke wako wala si huyo mme mwenzako, kuna mahala umezidiwa kete, huyo mke ni msaliti
 
Nope sihitaji kulipa kisasi nahitaji kumfanya akae mbali na mwanamke wangu kwa kutumia Saikoloji. A polite command. Yani nifanye kitu ambacho kuyafanya automatically huyo mwanajeshi a back down

Bado sina uhakika kama etembea nae but najua ana flirt nae nae anampa mpa vijihela.

Hapa nafanya clandestine kujua what do these soldiers do to women when they are in love ILI nijue strength yao Ilipo kisha ni attack hiyo strength
Inaonesha huwezi kumwacha mkeo, ina maana huna uhalali wa kumfuatilia. Akigundua kwamba umejua kakusaliti halafu umeshindwa kuchukua hatua stahiki madogo watajipigia sana hapo mtaani..
 
Back
Top Bottom