Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kwani CV ya Mbowe yenyewe ikoje ?Subirini dawa iwaingie. Mtu anakwenda jela maisha.
YaaaniSiyo Sirro ni wote wanaokomaa kusikiliza kuwa ohh waislamu hawapewi vyeo majeshini vikubwa haya matokeo hayo sasa mtu anapewa mivyeo mikubwa elimu na weledi zero ale tu mishahara na miposho ya jeshi
Kama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
Hapo baada ya ushahidi wa Leo, mawakili wa serikali Kuna mashahidi watawaondoa huko mbele ya safariAnaonekana kama Checkbob hivi...yani ule muonekana wa kiongozi hana
Mwenyekiti wa CCM alipiga division gani?!Kama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
Ajira yake ya kwanza baada ya kumaliza kidato cha nne unaifahamu?!..Mbona SSH naye wanadai hakufaulu?
Hahaha sidhani kama mahakama ina uwezo wa kutoa ruhusa mashahidi wakate gogo wakati kesi inaendelea.Leo kaiomba mahakama akajisaidie haja ndogo kesho ataomba kwenda kukata gogo kabisa itView attachment 1939193
Kwa cheo chake criminal evidence isingemsumbua alipanda vyeo ki magumashiLakini pia maswali ya mawakili yana mitego sana,anakuuliza vitu we unaona maswali marahisi kumbe unaenda kujifunga huko mbele
Uliona kwenye hiyo kesi mkiristo yeyote kachemka kama huyo Ramadan?Haya ulipaswa uwaeleze wakristo wenzako wanaowateua watu ambao hawako competence
Yaani ni mweipe kuliko hata weupe wenyewe.Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
Mungu ni mwema ,siamini unachoandika ni wewe kweli.Umepata akili???Roho mtakatifu amekubadilisha ???Umeamua kutumia Elimu yako??Umeamua kuachana na CCM?? Serious umenifurahisha sanaPolisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Mapolisi wa hii nchi bwanaKapigwa mawe na Kibatala hadi kaomba maji ya kunywa kudadeki !
Mkuu hamjuani ??Huyo ni CCM mwenzako kaamua kuokoka ,ameamua kuachana na umaskini ameamua kutumia Elimu yake ya uzamili kutafuta hela siyo kulamba miguu watu ndiyo apate pesaKama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
Zoeni mawazo mbadala we kibwengu,yaani leo mwenzako wa lumumba kuwaza tofauti unamkabidhi kwa Mbowe?Pumbafu kabisaKama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
Vyeti vya fu foji.Polisi ajirieni watu kwa elimu na kuwapandisha vyeo kwa elimu na weledi sio Udini tu ona sasa aibu hii mtu ana mivyeo kibao hata Hati ya mashtaka hakusoma inaasema nini msisikilize wanasiasa
Unatatizo na Uislam na Waislam BroSiyo Sirro ni wote wanaokomaa kusikiliza kuwa ohh waislamu hawapewi vyeo majeshini vikubwa haya matokeo hayo sasa mtu anapewa mivyeo mikubwa elimu na weledi zero ale tu mishahara na miposho ya jeshi
Kapigilia msumari kwenye mshono tena mbichi msumari tena wamotoMuonekano wake hauonyeshi hata kama kusoma na kuandika anajuaView attachment 1939177
... watazima mitandao yote siku hiyo.Ni Kama vile watu wamechoka kuangalia Isidingo na serikali imeamua kutuleta tamthilia yake na Maafande chenga chenga... sasa subirini siku Kamanda Siro akiwekwa mtu kati uone atavyogombaniwa kama mpira wa kona... siku hiyo bundle zitawaishiwa watu kwa kuangalia tu online live huko mahakamani toka Jamuhuri ya twitter.
kichwa cheupe unakijuaje wewe karimati??Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
mwenyekiti hajasoma kihiivyo ila anawakusanya vijii kwa vijiji.Anaeleza ukweli weye unataharuki.Tulia weye Medieved.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]