I wish kwenye hilo jopo la akina Kibatala na Lissu angekuwepo aisee.Pale unapo politicise professional agency kama hii haya hutokea
Unapo politicise professionals kama hawa hua akili zinapotea wanakua mataahira,na hili limejidhibitisha
Hawa polisi wamechoka kutumiwa na serikali,waangalie tu walinyong'onyea
SIo kwamba wanafurahi wanapofanya huu upumbavu kwa niaba ya maCCM,wamechoka na itafika kipindi watawaambia maCCM,fanyeni wenyewe!
We uko kama mzee Mpili au Haji ManaraRPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.
Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.
Lakini pia kesi hii ameanza kuichubguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
Kibatala: Shahidi nitakosea nikikuita kaka yangu? Shahidi : Hapana kwa sababu nimekuzidi umri, Kibatala : shahidi utakasirika ninapokuwa namtetea Mteja wangu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaah wee Kibatala wewe....Kibatala kampiga maswali jamaa alipata presha mpaka akasema anahisi haja ndogo apewe break
Zero [emoji23][emoji23] alifanyaje kazi BoT kakaKama mwenyekiti wako mbowe alipiga zero na huchoki kumtetea humu we ni kilaza mkubwa
USSR
ACP kabisa kabisa....bwana bwana 😅😅😅Muonekano wake hauonyeshi hata kama kusoma na kuandika anajuaView attachment 1939177
Tuliokuwa Mahakamani tumejionea aibu ya kutisha !ACP kabisa kabisa....bwana bwana 😅😅😅
Noma sana !Naomba nikakojoe kwanza😁😁😁
View attachment 1939380
Kilaza wa mwisho wewe!!! Mada inahusu senior Police Officer kilaza RPC kingai...Mbowe anaingiaje hapa...inabidi useme kwa dalili hizo mbowe ana uhakika upi wa kushinda kesi.
vinginevyo bado sioni faida ya nyumbu kushangilia.
Kwani mama yako na baba yako hawajafa? Ardhini wote tunaenda huko. Acha kufikiri kinyumbu wewe mbw!Karibu mkuu!Magufuli alifariki 17.03.2021.Alikuwa zaidi yako Kwa Roho.Lakini sasa hivi ardhi ya chato.Karibu sana
Ujinga huu kwhy siro na mabeyo wanna PhD Rudi shule dogo usitukane imani za watuNinachojua ni muislamu
Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Udini umeingiaje hapaNinachojua ni muislamu
Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Huyi bwana, kwa namna tu alivyokuwa akijibu maswali, inaonekana uwezo wa akili yake (IQ), kama ilivyo kwa polisi wengi, ni mdogo sana. Amekaririshwa kwa karibu mwaka mzima lakini bado haikusaidia kitu.RPC Kinondoni leo ni shahidi aliyesimama Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe na wenzake ya Ugaidi.
Katika kufuatilia cross examination kiongozi huyu wa Jeshi la Polisi amejichanganya sana na hivyo kushindwa kusimama kwa nafasi ya afisa mkubwa kwenye Jeshi na mchunguzi.
Yawezekana tatizo ni elimu au tatizo ni aina ya kesi ndiyo sababu ya yeye kubanwa mahakamani hadi wakati mwingine kupata gaidance ya Mahakama.
Ili tumfahamu vizuri kama ambavyo nchi nyingine ufanya, tunaomba tupate CV yake kuona kama kwenye criminal investigation huyu anaelewa au Basi kawekwa tu.
Lakini pia kesi hii ameanza kuichubguza akiwa Arusha wakati mazingira ya kesi yapo Kilimanjaro na Dar es Salaam, je huyu ndiye alionekana nafuu Kati ya ma RCO nchi nzima au kwanini yeye na si RCO Kilimanjaro Wala Dar?
akitajwa mbowe mori inapanda.Kilaza wa mwisho wewe!!! Mada inahusu senior Police Officer kilaza RPC kingai...Mbowe anaingiaje hapa...
akitajwa mbowe mori inapanda.
unaweza ua mtu[emoji23][emoji23][emoji23]