Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Hamna kesi hapo Ni uongo mtupu ambapo kila mtu ameona
 
Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
Wanawekwa hao kwa misingi ya unazi /ukada wa CCM.

Nimeona watumishi wengi wameajiliwa kwa kuzingatia ukada hata kama elimu na ujuvi wa Mambo Ni duni
 
Kwani mama yako na baba yako hawajafa? Ardhini wote tunaenda huko. Acha kufikiri kinyumbu wewe mbw!
Wote walishafariki.Nilikuwa Na kukumbusha kuacha Roho mbaya Kama ilivyokuwa Kwa boss wako.Uache uwakala wa shetani siku ukifa utaenda wewe na ROHO YAKO,Hawa unaowatumikia Kwa kutenda maovu ili uweze Kula hawatakuwepo
 
Kwani CV ya Mbowe yenyewe ikoje ?Subirini dawa iwaingie. Mtu anakwenda jela maisha.
Kumbe na wewe kichwani umepungukiwa kiasi hiki?

Yaani Mbowe aende jela kwa ushahidi wa mtu mjinga ka huyo shahidi namba moja? Shahidi mkuu, licha ya kushiriki kutengeneza kesi ya kubambika, inaonekana ni mhalifu mwenye akili ndogo sana maana hata ile akili tu ya kufanyia uovu hana. Kuna intellogent criminals ambao hata uwe unaonewa, unaweza kuchemsha, halafu kuna hawa idiot criminals kama huyu wa leo ambaye anajichanganya mwenyewe.

Leo kaomba ruhusa kukojoa, kesho anaweza asiwe hata na akili ya kuomba ruhusa, ataachia haja kubwa ndani ya mahakama.
 
Dada nawe muombe mumeo ukajisaidie haja kubwa
 
Aliyemwona Kibatala akiingia mahakamani leo atuwekee video hiyo please.

Mbowe si gaidi, watakufa watu kwa hii dhambi
 
Atakuwa kalogwa huyo.
 
Ninachojua ni muislamu

Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Waislamu waanzilishi dunia nzima,wa elimu,kuanzia Maandishi,namba,kuhesabu,kusoma,na elimu kadhaa.Hata neno ALFABETI,neno la kiislamu,Kwa maana ya ALFI,BE,TE.Na namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8.Ukija kwenya ALJEBRA,ni huko huko kwa waislamu.Ukija kwenye KEMIA,ni huko huko kwenye uslamu.Hata kwenye elimu ya anga,ni wao pia.Katika vyuo vikuu ,chuo kikuu cha zamani sana,ni chuo kikuu kilichoanzishwa na Mwanamke wa kiislamu,University of Al Qarawinyyin,kilianzishwa 1611,kiko Afrika,Morocco,na mpaka leo kiko,kinaendelea.Ukija chuo kikuu Cha misri cha Al zhar 970 AD.Chuo kikuu cha Salamanca,kiko spain,1134,wakati spain iko mikononi mwa waislamu.
 
Zaburi 27:11-12
[11]Ee BWANA, unifundishe njia yako,
Na kuniongoza katika njia iliyonyoka;
Kwa sababu yao wanaoniotea;
[12]Usinitie katika nia ya watesi wangu;
Maana mashahidi wa uongo wameniondokea,
Nao watoao jeuri kama pumzi.
MBOWE SIO GAIDI
 
Kingai kama Hangaya, pumbavu zake yan[emoji3]
Ninachojua ni muislamu

Elimu sijui sababu waislamu wengi isipokuwa wachache huwa hawapendi elimu dunia ila wanataka haki Sawa kwenye ajira na vyeo ikiwemo Polisi wakati eimu hawana
Waislamu waanzilishi dunia nzima,wa elimu,kuanzia Maandishi,namba,kuhesabu,kusoma,na elimu kadhaa.Hata neno ALFABETI,neno la kiislamu,Kwa maana ya ALFI,BE,TE.Na namba 0 1 2 3 4 5 6 7 8.Ukija kwenya ALJEBRA,ni huko huko kwa waislamu.Ukija kwenye KEMIA,ni huko huko kwenye uslamu.Hata kwenye elimu ya anga,ni wao pia.Katika vyuo vikuu ,chuo kikuu cha zamani sana,ni chuo kikuu kilichoanzishwa na Mwanamke wa kiislamu,University of Al Qarawinyyin,kilianzishwa 1611,kiko Afrika,Morocco,na mpaka leo kiko,kinaendelea.Ukija chuo kikuu Cha misri cha Al zhar 970 AD.Chuo kikuu cha Salamanca,kiko spain,1134,wakati spain iko mikononi mwa waislamu.
Ndio ukaona waislamu,wana alphabet yao,katika Maandishi.Mzungu hana alphabet,amechukuwa kutoka alphabet za kilatini,na namba kachukuwa kutoka kwa waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…