Anayejua Wasifu wa Ramadhan Kingai (ACP) atusaidie

Hanna haja ya sivii wengi wahawa ni "fomu foo feliazi" wakaanza ungaunga shule zakutafuta vyeti sio kuelimika!!
Pia kazizingine ukikilikili unapanda vyeo sio akili...ukatili!! Unamkumbuka ma ii taa nzee wa mahechijii
Una elimu gani mbona umeandika vibaya hivo ,unawasema wengine we mwenyewe kuandika hujui
 
Leo mapolisi wa Kinondoni Wameona kwamba dogo anayewadindishia si chochote si lolote. Ni boya tu.
Hata mchepuko wake umeona baby wake alivyoshika na mkojo ZLIVE
 
Acha ujinga wa kupotoshaaa. Muhammad kazaliwa mwaka 570 Baada ya Kristo, na uislam umesimikwa mwaka 610 Baada ya Krsto. Ikiwa Muhammad hakusoma na yeye ndiyo msimikaji wa hiyo dini, Hao wangeanzishaje elimu ambayo tayari ilishakuwepo?
 
Utakufa kwa CHUKI zako dhidi ya UISLAMU, achana na UDINI fanya mambo yako boss.
 
Mimi muwazi Polisi na najeshi wazingatie elimu na weledi tukiangalia Udini tu itakuuwa shida huyo alifikaje kuwa na cheo kikubwa hivyo wakati kichwani mweupe?
Naona usingizi umekutoka maana sio Kwa kutetea uozo wa shishiemu wenzako kabla ya Leo! Mtaamka wote wafia shishiemu na hakutakiwa na hata mmoja wenu atakayekaa upande ule mlikokuwa!
By the way, Lumumba fc wanakusoma au wanakuchungulia na kusepa?
@ USSR, jingalao, idegenda, et Al mnaitwa hapa kwani mwenzenu anavunja mwiko wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…