Anayemjua huyu jamaa; kachomwa kisu muda huu Buguruni hapa

Anayemjua huyu jamaa; kachomwa kisu muda huu Buguruni hapa

Ee Mungu baba wa Mbinguni tunakuomba unapotupatia uzao utujalie na uwezo wa kuwalea watoto wetu waondokane na maisha magumu kama ya kijana huyo, hapo kamwaga tu labda kwa bahati mbaya mtaji ambao pengine ni efu20 tu...
 
Sema mhuni angekua hata na 50k mfukoni hili swala lisingefikia huko.

Hapo akimbizwe hospitali chap, cha ajabu mmekazana kupost mitandaoni.

Soon ataukata kizembe huyoo.
 
Moderator kwanini mliondoa huu uzi?
Mna mambo ya ajabu sana kwakweli
 
Huu uzi haujaja na taarifa za kutosha. .
Taarifa zipi mkuu?
Mimi nilikuwa pale Buguruni Sheli nakula vitu vyangu kwa mama ntilie, kwa mbele nikaona zogo, baada ya kusogea pale ndiyo nakuta huo mkasa.
Mpaka naondoka pale Mwenyekiti alikuwa kashafika na walikuwa wanafanya mpango wa kumpeleka Hospitali
 
Taarifa kama jamaa kapona au kafariki
Je kwa nini alichomwa kisu, sijaelewa. Kwa sababu alimwaga supu kapigwa kisu ah?
 
Elimu elimu, elimu, elimu, ni muhimu kwa jamii yetu, hapo akili waliyopata ni kuchukua video badala ya kuwahi kituo cha polisi apate pf3 wamuwahishe amana
Polisi wetu tunawajua wenyewe mkuu.
Nani akachukue pf3?
 
Inaweza kita wee ndio mume wa muuza supu 😁
Mama kauzu sana yule, yaani jinsi alivyokuwa anaongea tena kwa kujiamini kabisa.

Ni kamama kafupi hivi tena umri wake umeenda, hakawezi kuwa mpenzi wangu
 
Back
Top Bottom