The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?