Kama huelewi na humwelewi, ni wazi kuwa una akili nzito kama za kenge ambaye yeye ili aelewe ni mpaka ale kipigo cha kumtoa damu masikioni...!
Tafsiri ya maneno peke yake ya NO REFORMS, NO ELECTION yanakupa maana ya moja kwa moja iliyowazi na kamili kabisa, ambayo ni IWAPO HAKUTAFANYIKA MABADILIKO YA KISHERIA NA KIKATIBA KUHUSU CHAGUZI ZETU, BASI MWAKA HUU HAKUTAFANYIKA UCHAGUZI KABISA KWA YEYOTE..!
Labda swali lako ambalo linge make sense kutuuliza hapa jukwaani ni: Hivi huyu Tundu Lissu na CHADEMA wanaweza vipi kuzuia uchaguzi usifanyike kwa wote? Watatumia njia na mbinu gani..?
Na mwisho wewe unataka wajiandae au kutangaza wagombea ILI IWEJE? WAENDE WAPI NA KUFANYA NINI? Hayo mabadiliko ya sheria za uchaguzi yamefanyika..?
Sikiliza bwana, kama wewe unajifanya mwendawazimu uliyerukwa na akili za kukufanya uelewe mambo rahisi hasa, basi mwambie mkeo akueleweshe kwa lugha yenu kuwa...
Si CCM , CHADEMA wala vyama vingine vya siasa ama watu wengine wowote, watashiriki na kuingia kwenye uchaguzi iwe mwaka huu 2025 au 2026 au wakati wowote iwapo hatutakaa chini wote kwa pamoja kama nchi na taifa ili kufanya mabadiliko [A COMPLETE OVERHAULING] ya mifumo ya kusimamia na kuendesha chaguzi zetu tutaifanyia...
But, as for now the agenda is: NO REFORMS, NO ELECTION. Kama huelewi, nenda kachukue fomu CCM ugombee udiwani hewa...!!
Kama hamuamini kuwa hakutakuwa na uchaguzi mwaka huu iwapo hakutakuwa na mabadiliko yanayotakiwa, basi subirini ili muone kwa macho yenu maana kwa sasa mnasikia tu...!!