The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Peas za binkubwaSiyo kwamba Umeamua kujizima data tu!?
🤭Peas za binkubwa
C lazima umuelewe.Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Kwa nchi hii hii au unaongelea nchi gani?Hatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
ni muhimu wananchi kuepuka vibaka na matapeli wa kisiasa kama hao,Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Ni Kwa sababu huna akiliAnasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Kujizimaje data mkuu nifafanulie tu hiki anachomaanisha huyu mheshimiwaSiyo kwamba Umeamua kujizima data tu!?
Kwahio wapiga Kura wote wana akili ? Au ni jukumu la wanasiasa (waomba kura) kuhakikisha wapiga kura wanawaelewa ?Ni Kwa sababu huna akili
Kama Watanzania wakiweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi hautakuwepo, ili kususia uchaguzi ni lazima uchaguzi uwepo..."No reforms No election" maana yake ni kususia uchaguzi.
Jibu zuri sanaNi Kwa sababu huna akili
Hii movement ya kuzuia uchaguzi lazima itafanikiwa maana lazima ihusishe Watanzania wote hadi waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.Kama Watanzania wakiweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi hautakuwepo, ili kususia uchaguzi ni lazima uchaguzi uwepo.
Swali ni, je, Watanzania wataweza kuzuia uchaguzi usifanyike?
Hili si suala la Tundu Lissu tu, ni suala ka Watanzania wote.
..kila mtu kwa nafasi yake atimize wajibu wake.Hii movement ya kuzuia uchaguzi lazima itafanikiwa maana lazima ihusishe Watanzania wote hadi waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.