fadhili muhala
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 137
- 319
Maji ya dumu sio kw ajili ya kunyw ni kwa ajil ya ajili ya shughul ya uchimbaji au usafishaj, kwaio uwez kunyw bila kujua wap yametoka, Morogoro kuna shida ya maji so most ya natok miton au mferejiniNdio ndio ni ya kwenye mito na kwenye visima visivyo safi au mambomba yasiyo safi
Hujawahi ishi nje dar ndugu yangu?!
Hii hainaTanzania hii, hakuna sehemu inautajiri mkubwa wa dhahahabu kama Chunya.
Mind you..... huu ni mwaka wa 26 nipo kwenye mining industry
Panda bus ad msamvu 15000 pale ad mkundi 1000.mkundi adi machimbo kwa boda 3000Kutoka dar mpaka makundi nauli bei gani kaka
Asante Sana kwa taarifa mkuuTangu jana serikal imefik, imeanza kutoza kodi kwa kila kiroba, kinapigwa muhuri kabla ya kwenda kuchenjuriwa, na baadh ya watu wameshusha vifaa vya kisasa
Hapo bado hata guest hakuna ni nyumbani kabisa mama angu yuko hapo mita kama 100 tu machimbo yalipoAsante Sana kwa taarifa mkuu
Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Chunya Gold Belt huwezi shindanisha na Kanda ya Ziwa na huweza kukuta Gold Mining kubwa kama Tulawaka, Buzwagi, GGM ama Bulyankulu Barick...Tanzania hii, hakuna sehemu inautajiri mkubwa wa dhahahabu kama Chunya.
Mind you..... huu ni mwaka wa 26 nipo kwenye mining industry
Kwahiyo hata watu wengi hakunaHapo bado hata guest hakuna ni nyumbani kabisa mama angu yuko hapo mita kama 100 tu machimbo yalipo
Mnooo ila serikali bado haihitaji yachimbwe sijui kwaniniDhahabu Morogoro ipo kila pahali, pia kuna madini mengine mengi sana.
OhoooooWe jamaa jau Sana! 2022 ulisema upo mkundi, Leo unaulizia kwamba mkundi Kuna ramani gani.
Ngoja nikutag kwenye Uzi wako
In short makunganya bado ni kijiji kina watu ila sio sehemu iliyochangamka sana kama mkundi mwisho, naona fursa za malazi hasa guest houses kwa namna watu wengi wanavyomiminika kutokana na fursa ya ugunduzi wa dhahabuKwahiyo hata watu wengi hakuna
Yaan maana yake uzalishaji bado wa chini sana?
Akili ntatumia zako usijali mkuuDumu la maji ya lita 20 kwa ajili ya kusafisha sio ya kunywa tumia akili
Yani ulisikia mifuko 100 , inatoa point 2 inamana mali ni ndogo kuliko umarufu wake, ila pesa hapo ipo km utapeleka huduma, kafungue viosk vya pombe kali, mgahawa, kauze tutu, n.kMkuu kwahiyo hakuna kitu?
ππππWe jamaa jau Sana! 2022 ulisema upo mkundi, Leo unaulizia kwamba mkundi Kuna ramani gani.
Ngoja nikutag kwenye Uzi wako
Gest nying tuu apo mkundi. Na kutoka mkundi ad apo machimbo sio mbali wamepandisha gharama tuu kutokana na io gharama. Ila samaki wapo ukifanikiwa kuvuaAsante Sana kwa taarifa mkuu
Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Gest nying tuu apo mkundi. Na kutoka mkundi ad apo machimbo sio mbali wamepandisha gharama tuu kutokana na io gharama. Ila samaki wapo ukifanikiwa kuvua utalala majini kwakeAsante Sana kwa taarifa mkuu
Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Huku watu hawaji kulala, kama unatak gest utalala mkundi mwisho au sheliAsante Sana kwa taarifa mkuu
Kwahiyo nadhani hata guest house na bado havijawa sawa?
Nina M5 mkuu nije nipige deal gani kipabde hicho?Tanzania hii, hakuna sehemu inautajiri mkubwa wa dhahahabu kama Chunya.
Mind you..... huu ni mwaka wa 26 nipo kwenye mining industry
Nakushauri nenda lindi wilaya ya ruangwa, uko namungo, pita kijiji kikaitwa mbekenyera, ulizia machimbo ukifik uko utapata mchongo, Chunya Walimu wengi utatapeliwa, ushaur wa bure m5 kweny dhahabu sio ishu. Nenda mtwar au uko lindi msim wa kuvuna korosho unakarbia, anza kw kununua cheap kw wakulim6, hifadh ghalan, utakuj kupat faida kubwa baadaeNina M5 mkuu nije nipige deal gani kipabde hicho?
Aise we jamaa unakumbukumbu kishenzi ngoja nikutag kwenye nyuzi zako za kukumbushia watu nukuu zaoWe jamaa jau Sana! 2022 ulisema upo mkundi, Leo unaulizia kwamba mkundi Kuna ramani gani.
Ngoja nikutag kwenye Uzi wako