Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

Yani ulisikia mifuko 100 , inatoa point 2 inamana mali ni ndogo kuliko umarufu wake, ila pesa hapo ipo km utapeleka huduma, kafungue viosk vya pombe kali, mgahawa, kauze tutu, n.k
Vyote vipo tayri. Njoo uongee chako, mind u. Kipande cha kuweka kibanda kinakodishwa laki moja. Na utajenga kwa gharam yako ilo tent au banda
 
Sikumaanisha kwenda kufanya biashara ya dhahabu.
Nilimaanisha biashara nyinginezo huko machimboni.
 
All the best soldiers 👍
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nina M5 mkuu nije nipige deal gani kipabde hicho?
Chunya kuna fursa nyingi sana za biashara kwa mitaji kuanzia 500,000 hadi 10,000,000.
Unaweza fanya biashara ya chakula, kuku, bites nyakati za jioni, shawarma and pizza point, nafaka nk:
Watu wa chunya wengi sio wabunifu na wamejikita zaidi kwenye madini.
Hata mafundi kama carpenter, welder, electricians, mason na mechanics nk:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…